Recent content by Lieu_tenant

  1. Lieu_tenant

    Shida ya Maji jijini Tanga

    human activities sasa kwenye maeneo ya chanzo cha maji zimeongezeka (tofauti na miaka ya nyuma) ndo nacho kwambia hapo awali kulikuwa hamna izo shughuli kwa kiasi kama sasa, na mvua zikinyesha zinabeba hilo tope naongea hivi kwasababu nimefuatilia haya maswala kumeunda hadi kikundi cha...
  2. Lieu_tenant

    Shida ya Maji jijini Tanga

    Ujinga gan huo unaosema? Tatizo la maji kutoka tope inasababishwa na shughuli za kilimo, uchimbaji madini kule kwenye chanzo cha maji ndo mto unajaa tope na huo sio mkoa wa kwanza sehemu nyingine tatizo sio kubwa kwasababu vyanzo ni visima kwahiyo hamna uchafuzi kama mito .Na kwataarifa tu Tanga...
  3. Lieu_tenant

    Tanga jiji pekee lenye maji salama Tanzania!

    Ni kweli kabisa Tanga ni jiji lenye majisafi salama na reliable supply to the city residents .Mamlaka ya maji Tanga -Tanga Uwasa ilichukua tuzo ya mamlaka bora ya maji nchini mwaka jana .Hongereni sana Tanga Uwasa
Back
Top Bottom