Pale Crdb Kuna ujinga mwingi sana hasa wazee walioajiriwa kipindi Cha kimei huenda wengi waliingizwa kazini kwa vimemo
Juzi nimeenda na noti za sh laki moja ambazo ni chakavu elfu kumi 9 na elfu 5 mbili na uzuri zilikuwq zimechakaa tu sio kukatika vipande vikubwa vipotee ila ni uchakavu tu...
Hilo sipingani na wewe ni kweli bila mchina pale maduka yangekuwa ya mtumba tu wachache sana wangeuza vitu vya mturuki tu hata zamani kariakoo vitu vilikuwa vya mtumba tu mcjina ndio kaja k
Huyu jamaa inaonekana maisha yake nnje ya bunge na uwaziri ni magumu sana, ukiingia kwenye page zake za Mitandao kakaa kisani sanii , Huwa anawatu wake wa kumrekodi akiwa anact usanii, na anaendaga na upepo
Kabla ya kupewa wizara ya mambo ya ndani alikuwaga mtu flan mpole sana kila alivyopewa...
Ndugu zanguni mnaosema kataa ndoa kama naanza kuwaelewa , nina mwanamke ambae anashida akiwa na hasira ana mdomo mchafu sana ni mwnamke nnaemtunza kumlea na nilimvunja bikra mwenyewe ila hana staha maneno anayotoaga ni mkali kwa vitu vidogo
Juzi nilichelewa kurudi tu kaanza kununa nikamwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.