Recent content by liberatormuhewa

  1. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Mwalimu Gabriel aliwafanyia ukatili wa kingono takriban wanafunzi wote wa darasa la awali Shule ya Global International

    Kwa kuwa tayali mtuhumiwa yupo katika mikono ya dola basi tuichie mahakama ituamuli hili tukio la ukatili wa kijinsia.Ila ikumbukwe kuwa kanajsi watoto 30 . ukichukua 30x30 unapata idadi ya miaka anayo paswa kuishi gerezani.
  2. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Naunga mkono !
  3. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa hizi video ni za wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Fact!
  4. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    Hatushangai maana unatumia makalio kufikilia.
  5. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulifanyika vizuri sana

    Hiyo ilikuwa kazi ya asikofu gwajima ,askofu wa wanyang'anyi ,wezi na matapeli.
  6. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuteua wanajeshi kushika nyadhifa za kiraia haufai

    Kulala na kukoloma si kwa sababu ya kuwa na jeshi imara Bali ni matokeo ya siasa safi. Angalia nchi kama Israel na Palestine wanamajeshi imara lakin bado hawalali kwa aman.
  7. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Sina chuki nao, ila mishahara ya wabunge ni 'too much'

    Fact.
  8. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Ajira za Walimu: Kigezo cha kujitolea ni kichaka cha rushwa, upendeleo na udanganyifu. Rais Samia kimulike

    In shot hakuna mtu anaeweza kufanya kaz bila malipo hata kwa mwez mmoja, yaani atoke kwake/kwao aende shule, arudi kweke kula nn, pesa ya sabun anitoa wp? Probably waseme wale walio kuwa wanalipwa kidogo.THIS IS THE GAPE OF CORRUPTION OVER.
  9. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutashiriki (CHADEMA) tena Uchaguzi wowote! Bado mifumo na Wasimamizi ni walewale

    Uwezo wako wa kufikiria ni 1kb acha wenye akili za 10GB wakusaidie. Hakuna chochote unachojua.
  10. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

    Hili ndilo tatizo la kuwazia kupitia mlango wa fahamu wa nyuma. Yaan ww unaona kawaida tu watu 19 ambao hawana sifa ya ubunge kulipwa tsh 11 per month. Kwa nn hizo pesa zisisaidie wahitaji ? Bora zinunue madawa wagonjwa wapate kupona.
  11. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

    Binafsi nimeumia sana kuona jinsi watu wasio staili kuteswa na kuburuzwa mahakama, wakiishi maisha ya kimateka , ilihali mtesi wao alihimiza tumtangulize Mungu mbele. Note: MUNGU HADHIHAKIWI. rest with unpeace where you disserve.
  12. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania Mambo mbalimbali yaliyokoma kwenye utawala wa Rais Magufuli

    Ajira pia zimekoma
  13. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Forget about tribe stick on the point.
  14. liberatormuhewa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Acha kudangaya watu mm mwenyewe nilikuwepo hapo katoro, sio kwamba lissu alizomewa, ila vijana wasio pungua kumi walio andaliwa na mgombea udiwan(CCM) kata ya Buselesele ,walita kuharibu mkutano wa lissu, na badala yake waliiabulia vichapo, vilivyopelekea jeshi LA polisi kuingilia kati.mpka Leo...
Back
Top Bottom