Rais Samia: Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulifanyika vizuri sana

Atakuwa na faili Mirembe huyu.
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu

=====

Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.

“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.

Waheshimiwa majaji walisema hivi:
20210815_230942.jpg
 
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu". - Mwl. Nyerere 1982.
Hili lilikuwa kosa la bw. Nyerere . Unauona udhaifu halafu unaishia kutaadharisha tu. Hiyo imebakia kuwa uchochoro wa Ccm kuvikandamiza vyama vingine.

Hayo makosa kwa sasa Samia anayaona lakini hawezi kuthubutu kuyaondoa eti kisa uchumi sijui nini !!
 
Kwa mujibu wa Biblia Shield ni mavazi ya kikahaba yaliyokuwa yanavaliwa na makahaba kule middle east nyakati za Agano La Kale
 
Magufuli alishasema hakuna sliyeshinda ubunge isipokuwa yeye ndiye alifanya wakashinda. Kwahiyo uchaguzi ulikuwa Ni nguvu ya dola vs wanyonge waliokuwa upinzani
 
Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu

=====

Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwa mshindi wa urais na kuzoea karibu majimbo na kata zote.

“Hakuna shaka, yeyote aliyeshuhudia uchaguzi mkuu wa mwaka jana alishuhudia jinsi ulifanyika vizuri sana tena kwa kiwango kikubwa sana,” amesema Rais Samia.

Islam​
 
Back
Top Bottom