Recent content by lian006

  1. L

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    Tatizo kubwa sana la wapinzani wa Tanzania kamwe hawakubali kushauriwa. Daima wanaowashauri wanaishia kutukanwa kukejeliwa na kupuuzwa. Hata kwa jambo lililowazi wao wanaziba masikio na kutarajia miujiza ya mungu. Wakati CCM wanakubali ushauri na kila siku wako dynamic kwenda na wakati...
  2. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    icj ya kibongobongo
  3. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Angalieni mnavyofanywa wajinga Uholanzi na vitasa vya union nyaya za a tv zinaning'inia?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Kukimbia sio suluhu ya kuondoa tatizo

    Thread nyingi zinazokosoa CHADEMA humu ndani huwa zinafuatia na wachangiaji wenye hasira wakali wanatukana mpaka basi. CHADEMA jamani hatupendi kukosolewa kwa nini?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Katika kashfa zote za ufisadi katika nchi hii, Magufuli alisimamia wapi?

    https://youtu.be/LofQGOS0bCM Maelezo nyumba za serikali. Kisha tafakari wanasiasa walivyo wanafiki
  6. L

    JamiiForums Tanzania Uuzwaji wa nyumba za Umma na upotevu wa bil.380 kama ilivyoainishwa kwenye ripoti ya CAG 2014/2015

    https://youtu.be/LofQGOS0bCM Angalia hapa maelezo ya uuzwaji wa nyumba za serikali
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kumshitaki GWAJIMA kwa kutengeneza ujumbe fake wa kumkashifu Dr. Slaa

    Namba mmeiona? Dr Slaa Praivate!!
Back
Top Bottom