Recent content by LHFT

  1. L

    Naomba msaada wa tatizo la kucheua mara kwa mara

    Wana Jamii, Nina tatizo la kucheua mara kwa mara. Na haswa pale ninapotoka kula naweza kupata tatizo hilo hata kwa masaa matatu. Nilichogundua hadi sasa ni kuwa chakula ninachokula hakisagiki mapema hivyo kupelwkwa kucheua harufu kali ya chakula kama vile nimekula mda huo huo. Nimeshindwa...
  2. L

    Kipi unajivunia kwa mpenzi wako wa zamani?

    Hongera zako. Mi nlimtaftia kazi akataka nimzalishe ili aache kazi akae nyumbani tuu...hapo nikasepa baada ya kuona mzigo utakuwa mkubwa
  3. L

    Ulaji wa maini!

    Shida wanyama tunaouziwa mjini si wote wana afya njema. Hivyo ulaji wa maini nao unaweza usiwe salama haswa utakapoishia kula mnyama aliyekuwa akiumwa na kupewa madawa makali kumtibu. Tukumbuke wanyama pia hutibiwa na dawa ambazo ni kali na zenye madhara zinapoingia kwenye miili ya binadamu
  4. L

    Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    Mamboz. Umekuwa kwenye mawazo kama yangu leo. Nilipost fb status kama hii. Nlikuwa najiskia nahitaji jinsia tofauti na mimi nibadilishane nae mawazo tu. Kama upo serious siku zote ni vyema kuchat na usiyemjia kwa mawazo aina mbalimbali.
Back
Top Bottom