Recent content by Lexington

  1. L

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Ndio, ni hapo, karibu sana.
  2. L

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Hapo hapo njia ya Usalama inapogawa makaburi kama unatoka Salender ni kushoto, sasa we kata kulia. Kuna maduka hapo yamejipanga kulia , yanaangalina na bar/food joint na car wash. Which means kama unatokea BAKWATA Head Office ukimaliza HUGO tu unakata kushoto, halafu maduka yapo kulia.
  3. L

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Ilipo Barclays Branch iliyofungwa sipafahamu brother. Ila ni Kinondoni Road karibu na njia ya kuingilia Usalama, maeneo ya Hugo, ndio duka lilipo. Kuhusu kwamba sina ofisi, sio kweli. Mteja alionyesha nia ya kuchukua bidhaa kwa jumla (nyingi), na kwa mazingira ya soko yalivyo recessionary kwa...
  4. L

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Labda ungeuliza kama kuna size ndogo zaidi ya 100ml. Kwa hiyo unayotaka hakuna au niseme mimi sina. Hakuna za kupima.
  5. L

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    Calvin Klein, Daviddoff, tunazo. Bei zetu kwa baadhi ya products ni: Davidoff Cool Water: 120,000/= Calvin Klein for Men: 150,000/= Jean Paul Gaultier: 100,000/= Dolce and Gabbana: 120,000/= Salvatore Ferragamo 120,000/= Tunapatikana Kinondoni Road, Dar es Salaam, 0621 475574.
Back
Top Bottom