Recent content by LESSI

  1. L

    JamiiForums Tanzania kuhama ajira kwa kjbadilishana

    mimi nipo halmashauri ya kasulu kama mwanasheria. naomba mtu wa kubadilishana naye kutoka mikoa mingine kama morogoro, dodoma, manyara, arusha na tanga. namba zangu 0655739214, 0762630020.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtumishi wa maendeleo ya jamii wa kubadilishana naye aje maswa-simiyu

    aisee nitafutieni mwanazheria wa kubadilishana naye mimi nipo halmashauri ya kasulu. nataka wilaya za mikoa ya arusha, dodoma, manyara, iringa, morogoro
  3. L

    JamiiForums Tanzania sijui lini itakua mwisho wa kuibiwa!!

    if u think and believe that im advocating for magufuli or pombe whatever the name u might call, then u r under reasonable but uncertain state of analysing the contents of intellectual texture. Besides, im not politician to argue politics! Sorry.
  4. L

    JamiiForums Tanzania sijui lini itakua mwisho wa kuibiwa!!

    Ilianza kama masihara, richmond, mara dowans, wakaibuka wanyamapori waitwao meremeta, mara tangold, wakaja deep green resources. Sasa hayo yote yameibuka 2008. Hatujui huko nyuma kabla ya 2008 tuliibiwa kiasi gani!! Namuomba magufuli achukue fomu ya urais 2015!!!
Back
Top Bottom