Nilijua utasema wa Poland walivyo wabishi watarusha drone kwenda Russia
Kumbe umekuja na ngojera zako za kila siku,
Bora urudi shambani ujiandae na kilimo cha mwakani sidhani kama kuna mtu humu atakuelewa na uchambuzi wako ulisha jivua credit zote ulizo kuwa unapewa na member wa humu sasa hivi...
Ndio tunapoelekea mkuu wiki haishi tutaanza kuona vikao UN kuomba msaada maana mfadhili wake na yeye anaogopa kuingilia wazi wazi maana ametoa msaada Ukraine sasa ni wakati wa wapinzani wake kumpa msaada Iran kuishambulia Marekani
Na wanajuta kwa nini walifanya hivi maana sidhani kama walitarajia kupata hasara kama hii.
Kama hii vita ikiiasha sidhani kama Israel itarudia huu ujinga alioufanya
Kwahiyo wanasubiri hadi watoke nje ya Iran ndio walipize.
Basi ndio kama hivyo hatumuwezi tukubari tu Iran mbabe maana kasema tukijibu atatupiga mara 1000
Hapo ndio zilikua zina paki
Haya waambie waonyeshe basi maana walisema wameyadaka yote ila ulimwengu mzima wameona vitu vilivyo tua tena live.
Dunia imeanza kuchangamka
Alipiga mkwara UN yeye haogopi mtu yoyote watu wakamuita Iran pembeni wakamwambia analeta dharau huyu dogo hebu mkanye kidogo.
Target ilikua kambi za jeshi.
Uliza kambi ngapi zimepigika Iran sio magaidi kama Israel yeye anapiga kambi na viwanja vya f35.
Ndege aina ya f 35 zilizo pigika 20 na makao makuu ya mosad imepigwa
Hiyo ndio ilikua target sio kuua raia wasio kua na hatia ndio maana hata UN hujasikia kulalamika...
Alafu vyake vinaachwa tu.
Au unajua Iran ni Hamas?
Bwana wake anaye muomba msaada kila siku zililipuliwa kambi zake mbili hana hamu naye atakua huyo mvaa pampers ajaribu aone. Iran ndio wana wa Israel original sio hao wazungu wanao jiita Israel kutoka poland.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.