Recent content by Lersia

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa ni kitovu cha wala rushwa ?

    Sasa itabidi katiba ibadilishwe lakina ni jambo ambalo hawatalikubali mana watafunguliwa kesi nyingi sana
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa ni kitovu cha wala rushwa ?

    Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?
  3. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo iwe imepiga hatua katika suala la rasilimali, maliasili na utalii

    Kihistoria Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili uliofanyika mwaka 1964 ukijumuisha (Tanganyika chini ya mwalimu Julius Nyerere na Zanzibar chini ya Amir Abeid Karume ),kwa umoja wao waliweza kuunda serikali ya Jamhuri wa Muunguuno ambayo ndio nchi tuliyoko sasa isiyo na mipaka wala itikadi za...
  4. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo

    Mawazo endelevu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Is Tanzanian government democratic government?

    In my view our country is just democratically in the way that it allow multiparty systems as well as its conducting different election but the leader mostly are engaged in this for their personal benefits because they want to have power so that they can doing their business even without...
  6. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maliasili na utalii viwe vipaumbele na kiini cha kuleta mabadiliko

    Nipende kushauri nchi yangu juu ya suala zima linalohusu rasilimali, maliasili na utalii kama kipaumbele bora na kiini cha kuleta mabadiliko katika sehemu na sekta mbalimbali zilizomo, nchini mwetu Kwanza kabisa sekta hii inakuza masuala yote yanayouhusiana na usafirishaji katika anga, nchi...
Back
Top Bottom