Recent content by leonMarc

  1. leonMarc

    CRDB tembo visa card vs CRDB tembo master card

    Poleni na majukumu wana JF. jaman naomba msaada mwenye kujua tofauti na matumizi na vingine vyovyote vinavyohusu accounts tajwa hapo juu katika crdb bank anifafanulie .nawasilisha kwenu wana jamiiforum.
  2. leonMarc

    Hii ndio DIT mliochaguliwa pale komaeni

    Brilliant n useful projects. ..
  3. leonMarc

    Mzimu wa kukatisha ndoto za wanadiploma kujiunga na degree ipo siku utamrudia mtu

    Afu leo et mtu wa anapost kabisa thread ATAWALE MILELE.yan inaumiza sana kuanzia hiyo thread mpka heslb
  4. leonMarc

    Mzimu wa kukatisha ndoto za wanadiploma kujiunga na degree ipo siku utamrudia mtu

    Hata wale tulio chaguliwa na serikali TAMISEMI toka form four direct hakuna tuliopata mikopo mkuu .hii nchi inavyotufanyi kwa kweli sio poa kabisa . Wengine kipindi tunamaliza o level tuliweka advance kama first choice lkn wakaja na BRN yao wakanipanga chuo bhasi ikawa hakuna namna nikasema...
Back
Top Bottom