Recent content by leonce100

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mziki Mzuri

    Wadau mko poa? sasa kuna blog moja inaitwa MIDDLE SIMBA kule U-tube, katika utoaji wake wa habari au uchambuzi mbali mbali huwa kuna wimbo mtamu wa english unapigwa kwa mbali kama background song. sasa naupenda but nimejaribu kutafuta namna ya kuujua unaitwaje na ni wa msanii gani nimefail. Kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mwangaza kuhusu biashara ya “Mineral brokering”

    asante mkuu kwa maelekezo, maana mtu unaweza lia kilio cha mbwa mwitu kabisa,,,
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mwangaza kuhusu biashara ya “Mineral brokering”

    madini mbalimbali kama dhahabu, alimasi n.k
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mwangaza kuhusu biashara ya “Mineral brokering”

    asante sana mkuu, ngoja nilifanyie kazi. ngoja nitakwenda Geita nikapate mauzoefu kwanza.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mwangaza kuhusu biashara ya “Mineral brokering”

    habari wana JF! nina mtaji wa kiasi fulani cha fedha nataka nijikite katika masuala ya mineral brokering maana ni biashara nayoipenda sana. napenda kufahamu some ABC's kuhusu hii biashara. yaani kulangua madini na kuyauza kwa faida.
Back
Top Bottom