Baraza la Vijana Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) linaanza ziara mkoani Kagera kwa siku saba mfululizo kuanzia tarehe 7 February na kuhitimisha tarehe 15 February mwaka huu. Ziara hiyo ya Viongozi wa BAVICHA itakayojumuisha viongozi 15 wakiongozwa na Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA...
Hatukusudii kuvunja haki za binadamu lakini kwa nini hawa mafisadi wasinyongwd wakafa kama ndugu zetu watanzania wanavyokufa mahospitalini kwa kukosa madawa...
Leonce Marto
LEMA WARAKA WAKO UMELIGUSA TAIFA :
Sitaki kuamini kwamba Mh, Godbless Lema ni nabii wa nyakati hizi lakini moja kwa moja niseme kwamba amekuwa jicho la Mungu kwa wakati huu ambapo Nchi inaweza kuingia katika machafuko wakati wowote kuanzia sasa.
Mambo aliyoyasema Lema katika...
MAMBO SITA (6) YANAYOTHIBITISHA YA KUWA MUNGU HAYUPO TENA UPANDE WA CCM:
1. Rais wa nchi kukimbia nchi wakati wa maswala mazito na muhimu kwa taifa ; Mungu anatambua uwepo wa serikali za wanadamu hapa duniani na ndo maana katika maandiko matukufu ya Biblia amesema katika maeneo mawili...
Lisu hakukosa nguvu acha kuwaaminisha watu uongo, kanuni za mijadala yenye Tina huwezi ukapingana na ukweli hata kama huupendi.........ni lazima ikifika mahali ukubaliane na wazo au mawazo yenye uhalisia
Tusiwe wepesi kushabikia jambo ambalo halijafanyiwa tafiti na tafakuri ya kina kuhusu ni mtu wa aina gani anahitajika na wana Vunjo wenyewe ili aweze kuwaondolea matatizo yao. Mosi Mh, mbatia kumbe hana haja na Vunjo Bali wana Vunjo ndo wamemfuata na kumuomba aende kugombea , pili hicho kikundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.