Recent content by Leonardchama7

  1. Leonardchama7

    JamiiForums Tanzania Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

    Wametolewa kwa ungese wao
  2. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kwenda ugenini/safari yeyote halafu nitoke sijalala na mwanamke.

    Vipi lakini kuhusu Afya yako ? Mala ya mwisho kupima ilikuwa lini? Je unahisi unachokifanya ndio uthibitisho wa mwanaume lijali? Naomba Unijibu ili nijue
  3. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli mapenzi ni mental disease

    Mmmh pole sana mkuu nido ukubwa huo pambana
  4. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbaya sana kuwa kwenye mahusiano na mtu asiye na akili ya maendeleo

    Kweli kabisa mkuu,hata huyu wangu ni kama mzigo tu
  5. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasema hivi, Mume anauma!

    Hapo umewaza vyema fanya hivyo.
  6. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mkiwa Bar acheni kuvamia meza za watu msiowafahamu

    Pole sana mkuu ila ulifanya vyema
  7. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Sawa ndoa ikifika ukomo pia tunaomba utujulishe
  8. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Bado mtoa mada yuko sahihi kwa hao wajita ukiachilia mbali makabila mengine kutoka mkoa wa Mara, Wajita ,wakwaya na waruri wote ni jamii moja wana midomo balaa,yaani hata wazaramo wamesingiziwa,pia kwa uchawi ni balaa, Walichobarikiwa wanawake wa kijita ni kuvuta visimi na kuwa virefu, Kwa...
  9. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae, wake zetu huliwa nje ya ndoa

    Kizuri kula na nduguyo,hainaga makombo mhimu isafishwe tu baada ya matumizi, Ni sawa na sahani ya mama ntilie inatumika na kila mtu ni ila baada ya matumizi inasafishwa na wewe unatumia, Hutaki kula na nduguyo ila ukiona cha nduguyo unataka ule na ukipewa unakula kweli!! Acha ujinga na ubinafsi...
  10. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina(4) za wanaume waliochanganyikiwa zaidi duniani

    Ukishapata idadi ya hao wanaume na makundi yao nini kinafuata?
  11. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuoa Burundi

    Mmetaja sifa zao nyingi ila mmesahau moja tu ambayo kwa sisi wanaume toka Tanzania hatuwezi kuvumilia nayo ni UCHAFU usibishe kama hujafanya uchunguzi
  12. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada katika hili tafadhari

    Ha ha ha ha ha [emoji846][emoji846] Pole sana best achana nae huyo kashafumuliwa linda, Iliwahi nikuta hiyo mchumba wangu kuna siku baada ya faragha akalala ,mm nikaamka kwenda haja ndogo,ile narudi naingia kwenye net nikahisi harufu,nikajua kapumua kwa kijampo, Nikainuka tena ile pua inakaribia...
  13. Leonardchama7

    JamiiForums Tanzania Singida Out, iwe fundisho siku nyingine

    Alitaka aonyeshe sifa kuwa anajua kudaka Mwisho wa picha ikala kwake na ikumbukwe mpira ni mchezo wa kimakosa, Ukikosea unaadhibiwa hata kama maumivu ya adhabu atasikia nduguyo Inakuwa imeisha hiyo
  14. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Uchumi wa kati" hapa mjini. Akina dada ni wewe na akili yako tu

    Naweza kubaliana na wewe ila udhaifu wao ni UCHAFU Yaani 80% ya waha ni wachafu ,usibishe kama hujachunguza
  15. Leonardchama7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

    Namtemea kohozi usoni kisha naendelea kukohoa huku nikitokomea maana ndio itakuwa mwisho wetu.
Back
Top Bottom