Recent content by Leonard Speed Lion

  1. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Katika Hili mkuu kipi kifanyike watu waondokane na huu ujinga wa chuma ulete Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  2. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    GNLD ndio kitu gani mkuu Ebu Tupe elimu kidogo mkuu Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  3. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Ni kweli kabisa hadi mda huu watu wanaliwa pesa....ahahhaha Hasa wanafunzi wa chuo Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Haswaaaaa. Hilo ni kweli. Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  5. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Hilo ni kweli mkuu sisi wabongo ndio tuko hivyo. Tunaendeshwa sana na media. Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  6. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Pole sana mkuu buku 10 nyingi iyoo.....ahaahah Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  7. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Sijapata information yake. Hebu tupe fuul information kwa faida ya watu wote ili zikijitokeza tena watu wawe macho mkuu Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  8. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Fursa yeyote ya maana uwezi ukaisikia mtandaoni. Hata mikopo ya serikalini aitangazwi ovyo ovyo na hipo Waswahili wanasema ukiona unaitwa kwenye fursa ujuwe wewe ndio fursa yenyewe. Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  9. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Yaani mku wako wengi hao. Sana sana wanapiga sana maeneo ya mwanza na arusha ndio wanawanasa sana watu. Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  10. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Ni hao hao watu wa Kalynda wamekuja kwa jina lingine na cha ajabu hao hao walioliwa Kalynda ndio wanaoliwa tena M-Tangoling Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Hawa juzi wametoka kuwaliza watu kama JATU plc Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  12. L

    JamiiForums Tanzania Zijuwe platform za kimtandao zilizowahi kuibia watu Tz

    Habali za muda huu wapendwa. Leo nawaletea uzi huu wa utapeli kwa njia ya Mtandao. Tunapo ongelea maswala mazima ya biashara za mitandaoni moja kwa moja kuna faida zake na asala zake. Biashara nyingi zinazopatikanika mitandaoni zinakuwa na risk kubwa sana kwa sababu zinafanyika kwa njia ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

    Nimesoma vizuri uzi huu changamoto kwamba auna elimu ya koroho ila umesoma sana theory. Watu wengi wanaopinga uwepo wa Mungu mmoja aliyeumba mbingu na nchi(Simaanishi wewe ila ni baadha ya watu) cha hajabu hao watu wengi ni madevil worshiped waabuduMashetani. Wanakataa uwepo wa Mungu lakini...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya unapokwenda nyumbani kwa mtu kama mgeni wa kutwa na bweni

    MGENI NI MFALME Kwanza Kabisa Tuelewe mfumo wetu wa sisi watanzania ulikuwa ni Ujamaa. Ambao katika huu mfumo umejaa ukalimu wa hali ya juu Tofauti na mfumo wa Kibepali ambao wenyewe umejaa ubinafsi, uchoyo n.k Mgeni kwetu ni mfalme. Zamani ukienda kutembea kwa mtu yaani hata kama awana ela...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya unapokwenda nyumbani kwa mtu kama mgeni wa kutwa na bweni

    [emoji1][emoji1][emoji1787] Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom