Recent content by Leonard kinyoa

  1. Leonard kinyoa

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

    Na ushauri wa mitandaoni siyo rafiki sana na mafanikio ya maisha yako hebu badilisha washauri kwaza muombe Mungu akusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Leonard kinyoa

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

    Hayo unayopitia ukiyafaulu mlima vizuri itakuwa mwalimu wa ndoa nyingi kuazia watoto wako Sababu umesema umeajiriwa na vyazo vya fedha lazima ujaribiwe na ujue adui wa mtu ni Yule wa nyumbani mwako usimuache kabisa huyo anakuona kuwa mke bora badae ya kupita hayo ni ya mda tu dogo Sent using...
  3. Leonard kinyoa

    JamiiForums Tanzania Kuna wana JamiiForums wenzetu wanapitia nyakati ngumu mno

    Lakini Mungu anajua yeye ni mwazo na mwisho wa yote Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom