Recent content by LEO VII

  1. LEO VII

    Mwamba wa kanda ya Kaskazini Laigwanani Mkuu kutangania kugombea Urais

    Wagonjwa wanaenda Ilkulu au Hospitali.
  2. LEO VII

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Ukweli ni kwamba biashara ya madawa ya kulevya imeshamiri, ufisadi umeshamiri, ujangili umeshamiri na upuuzi mwingi umeshamiri katika tanzania yetu. Ikiwa biashara hizi zina baraka kutoka kwa wakuu wa serikali, basi nchi imeoza. Ikiwa sio wakuu wa serikali lakini bado biashara hizi zinashamiri...
  3. LEO VII

    Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    "They call us monkeys, and we cant prove them wrong." Shame.
  4. LEO VII

    Si kweli kuwa Tanzania ina biashara ya Meno ya Tembo na China

    Only fools can be fooled. Kuna baadhi ya watanzania wenzetu (kwa maana wote tumezaliwa tanzania) mishipa yao ya fahamu inayoshugurikia aibu imekatika. wameamua kufa na kupona kuliangamiza Taifa. Siku wazalendo wakiamua kufa kupona kuliokoa Taifa, Vita vya wenyewe kwa wenyewe havitaepukika.
  5. LEO VII

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Nakuuliza ndugu Bluetooth!
  6. LEO VII

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Hekari Moja inahitaji mifuko mingapi?
  7. LEO VII

    Hisa zinalipa

    Asanteni sana wakubwa, nimepata kitu hapa!
  8. LEO VII

    Hisa zinalipa

    Msaada Wa kimawazo tafadhali, wajasiliamali tunaamini moja kati ya rasilimali za kumiliki ni HISA, Mimi sina uzoefu kabisa kabisa kuhusu HISA, ntapataje uzoefu?, Je kampuni gani zinalipa vizuri? Vitu gani vya kutilia mkazo? Hasara zake ni zipi? Nawasilisha wakuu..
  9. LEO VII

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Rafiki yangu mmoja kutoka Israeli anasema matikiti haya ya Tz. ni madogo sana. Ikiwa mtu atazingatia ubora wa kiulimo cha water melon anaweza kuvuna matikiti makubwa mara mbili zaidi ya haya tunayoyaona. Kumbe inabidi yawe yananing'inia. Unaweka viatlu imara na kupauwa kwa miti ambayo itatoa...
  10. LEO VII

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Forbes walishaishiwa umakini! January hata kumi bora hapa Tanzania hayupo, Pengo, Slaa, Jk, Mbowe, Magufuli, Mwakyembe, Lowasa, Mwamuyange, Dk Shein, Mh. Sitta, Bakhresa na baba angu.
  11. LEO VII

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Ndevu chafu unaongopa! Hivi kuna mtu humu hajui hizo taarifa! Hawakuwa most powerful men jamani ushabiki utawaharibia personality zenu. Walokuwa ni influencial young African leaders. "Young"
  12. LEO VII

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Wapiga kampeni wa siku hizi wana nyodo. Yani mwananchi akiuliza swali anaambulia matusi... teh.
  13. LEO VII

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Kwa hiyo JM akiwa presdah ina mana first lady atakuwa yule mzungu?
  14. LEO VII

    2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Ukweli ni kwamba JM anajijengea "public attention". Kwamba macho na mioyo ya watanzania vianze kumkariri na kumzoea (popularity). Na moja ya mechanisms ni kujitangazia urais ili ajijengee popularity. Ukiwa mtu huru kifikra haya mambo si ya kukupotezea muda. Lakini kama akili yako imefinywa na...
Back
Top Bottom