Huu Uzi wa AZania umenikumbusha mbali saaanaaa.KWa wale waliokuwepo pale miaka ya mwanzoni 1990,mnaweza kunijulisha yuko wapi mr mgololo, huyu Jamaa alipewa hili Jina kwa kuwa alikuwa maarufu kwa kuuza karatasi (rough paper) kwa ajili ya kusovia maswali, pia kuna Jamaa alipewa Jina la bingwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.