Recent content by Lentok

  1. L

    Milipuko Tabata

    Tabata ipi mdau
  2. L

    Ibra classic vs Mmalawi ilikuwa ni bonge la mechi

    Kwangu huyu dogo ibra class ndie bondia bora mwenye ladha kumtizama bila makandokando unakubali upiganaji wake
  3. L

    Ibrahim Class: Bondia mzuri Tanzania kwa sasa

    Kabisa huyu dogo hata mimi kanikosha sana kwa umahiri wake ulingoni kapata mpinzani wa kweli na kapambana vizuri kikubwa apate sapoti nzuri hakika atateka hisia za wengi, bila hisia za makandokando kama ilivyo kwa wengine wenye high profile lakini kama hawaaminiki kutokana na aina ya wapinzani...
  4. L

    Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

    Acha udini kiongozi fikra mbaya sana hizo ulizonazo binadamu tuna tofauti nyingi sana kwanini hii ya dini ndiyo ikukwaze tu..Baki na Utanzania wako na heshimu imani ya kila mtu bila kuona imani yako ni bora kuliko zingine. Mungu akusimamie tuwe wanajamii bora. Asante.
  5. L

    Kwanini walimu na wastaafu ndio wahanga wa Utapeli wa QNET, DECI, D9 nk?

    Kuna hii inaitwa Neo Life nayo vipi mkuu?
  6. L

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Bingwa naomba ushauri juu ya chakula kipi bora kwa ukuaji wa kambale....
  7. L

    Kwa mnaosema Mwakinyo ana dharau na kejeli, pitieni interview hii ya Mike Tyson mtajifunza kitu kuhusu Boxing

    Si vizuri kusapoti na kukumbushia vitu vyenye mlengo hasi kwa watu wa jamii flan kama wewe pia huvifurahii
Back
Top Bottom