Recent content by lenno phones

  1. lenno phones

    Msaada kuhusu majukumu ya fitter kwenye meli

    Fitter Kwa lugha nyingine ni fundi mechanical. kazi za fitter melini ni kufix mechanical problems za kwenye meli( mf. Kutengeneza engine ikisumbua upande wa mechanical, services za engine).
  2. lenno phones

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Ndiyo jumla pia nauza,Nipo Dar.Mikoani pia Natuma.
  3. lenno phones

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    USB wire Computer Mouses. Flash Small Bluetooth speaker ivo vitu nauza ukihitaji kuona naweza kukutumia picha au ukatembelea page yangu instagram @lenno_phones au Facebook kwa jina la Lenno Biashara, kujionea bidhaa nyinginezo nyingi.
  4. lenno phones

    Kikuu vs AliExpress

    Samahani mkuu naomba unijuze iyo zip code ndo nini?
  5. lenno phones

    Facts Muhimu kuhusu WCB

    😂😂😂😂 Dah!
  6. lenno phones

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kwa mwenye uhitaji wa vifaa vya simu(phone accessories) kama vile: Chaja za simu,Memory card,kava za simu,phone protectors, Earphones n.k au Radio zenye Bluetooth pia zipo, Flash na vingine vingi anichek. kwa jumla na rejareja. Vile vile unaweza tembelea page yetu ya Instagram @lenno_phones au...
Back
Top Bottom