Recent content by Lenja

  1. Lenja

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19

    Naunga Mkono. Yeye ni MwanaChadema mpaka ahisi mapungufu yake? Kama anahisi ina mapungufu ahamie Chama Kingine chenye Katiba nzuri zaidi.
  2. Lenja

    JamiiForums Tanzania ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

    Mwambie huyo. Kama anataka kubalansi mambo, act&chichiem aende tbccm.
  3. Lenja

    JamiiForums Tanzania Wengi wapo CCM kimwili lakini kiroho wapo UKAWA

    Umenena Mkuu. Evidence: Makongoro Mahanga, kiongozi wa serikali. Kumbe alikuwa anaongoza kimwili ila KIROHO alikuwa CDM.
  4. Lenja

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapogeuka lulu kwa wafuasi wa CCM!

    Kimbililio lao sahihi. Mfano, inasemekana, N. Waziri Mahanga, leo kavua Gamba!
  5. Lenja

    JamiiForums Tanzania Magufuli Rais, Ukawa viti vingi bungeni!

    Naunga mkono hoja. 100/100.
  6. Lenja

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

    Hii hofu yao haina muda mrefu, itaondolewa kwa nguvu ya Umma. Kenya, majirani zetu, Bunge linaoneshwa na Tv zote, labda iamue kutokuonesha. Pia, tunashudia KESI kubwa au zenye mvuto zikionyeshwa live........ndio maanatunatengwa na wenzetu EAC.
  7. Lenja

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Isiruhusiwe!
  8. Lenja

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Licha ya umahiri wake kisiasa. Zitto ni kama POPO. Msimamo na kazi aliyoifanya katika PAC hatimaye anawageka wenzake na Bunge zima hasa wale wa upinzani na Wanaccm mahiri waliojitoa mhanga, kuua mapendekezo waliyokubaliana katika kamati na kuanza kutoa maoni yake binafsi. Amewapa ugumu mkubwa...
  9. Lenja

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Kweli kabisa! Kaokoa jahazi ambalo lilikuwa lilishavishwa limbwata!
  10. Lenja

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha ITV kumpa Airtime Warioba ni Uchochezi au Ukombozi?

    #Mr . Mwalu, kwa ufupi hilo ndio jibu!
  11. Lenja

    JamiiForums Tanzania Hii ya kutomtaja Mzee Warioba katika Makabidhiano ya Katiba imenisikitisha sana

    Nakushukuru sana kwa kulitambua hili. Hamna mtu hata mmoja aliyetambua umuhimu wa kazi waliyoifanya. Hakutamkwa hata mara moja wala wajumbe wake......nilisikia tu mara chache sanaaaaa maneno ''''tume ya katiba''''''' inasikitisha.
  12. Lenja

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Tmk/a/warioba
  13. Lenja

    JamiiForums Tanzania Mwelewa zaidi atusaidie: Upigaji kura wa hapana na ndio katika ibara tofauti tofauti inaathiri vipi

    Naomba mtu ambaye ni mwelewa kwenye hili: Kuna Wajumbe, baadhi, wamekuwa wakipigakura ya HAPANA kwenye IBARA kadhaa na NDIO kwenye IBARA nyingine. Watakapomaliza kufanya hivyo mwishoni athari yake ikoje? Kwani wakishamaliza kuzipigia Ibara, je, itapigwa kura moja kwa kila mjumbe kuamua katiba nzima?
  14. Lenja

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Tmk/warioba/A
Back
Top Bottom