Welcome jr supplier ni wauzaji wa mchanga wa mtoni super kwa kujengea kwa bei ya jumla na rejareja tunapatikana mpiji river contact 0657710078
richbalele@gmail.com
Acha kuwadanganya vijana mwaka huu pesa ya bima unalipa directly wizara ya afya na ni tsh 54 elfu tu. Xo wadogo zangu nendeni kwenye site ya chuo muone maelekezo ya jinsi ya kupata bima yako ya afya
Yes kuna kipindi mwaka huu kama wiki 2 hv maji yalikuwa tabu lkn uongozi wa chuo ulishatatua tatizo hilo ss hv maji yapo yakutosha na nikila siku yanatoka. Karibu sana udom usiwe na wasiwasi me nipo college of humanities and social sciences nasoma BOCA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.