Recent content by lenga

  1. L

    Jimbo la Arusha Mjini linarudi CCM

    Arusha imeamua leo.
  2. L

    Jimbo la Arusha Mjini linarudi CCM

    ukweli unauma eeeeeh
  3. L

    Jimbo la Arusha Mjini linarudi CCM

    Kimtazamo wa kampeni ziendavyo hapa jijini, CHADEMA inaonekana kama chama tawala kilichoshindwa kuunganisha makundi mbalimbali ya kijamii na kuleta maendeleo, mbunge anaemaliza muda wake Mh. Lema ameshindwa kujipambanua na kueleza kwa yakini ni nini amewafanyia watu wa arusha mjini, hoja...
  4. L

    Jengo la CCM Arusha!! Picha

    Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais
  5. L

    Hila, kutojiamini, njaa na woga wa Kamati ya maadili ya CCM ndiyo imetuua

    Ccm inaweza kuzima ndoto hizi za ukawa endapo tu bila haya watasema walikosea na yaliopita si ndwele, wakiri hadharani walifanya ndivyo sivyo kwenye kamati ya maadili. Hapo watakuwa wamejisafisha na vinyongo itapungua vinginevyo tujiandae kuwa wapinzani.
  6. L

    Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

    Ok nimekupata@ Nyerere kama ambavyo nilikuwa najua kesi ya msingi ya Lema bado. Kilichokuwa kinajadiliwa na mahakama ni mapingamizi ya awali ya hiyo kesi.
  7. L

    Ruling Kuhusu Kesi ya Lema ni Leo!!

    Leo ni hukumu ya kesi ya lema au ni hukumu ya pingamizi ya rufaa ya lema please nielewesheni.
  8. L

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Any news pls kutoka segerea
  9. L

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Any news pls kutoka segerea
  10. L

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Nadhani sasa ni muda wa kuanza kujipanga na kuangalia ahadi zake alizotoa wana arumeru wanamatumaini makubwa na mbunge wao mpya. Ajipange vizuri kuwasaidia wananchi na sio kila siku kupambanisha wananchi na serikali yao nadhani ajifunze zaidi kutoka kwa mbunge mnyika kuliko kujifunza kwa mbunge...
Back
Top Bottom