Recent content by Lemilemi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hayo mambo yake binafsi we jali kazi yake
  2. L

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mambo yake binafsi hayo yaache we jali kszi yake anaitekeleza
  3. L

    JamiiForums Tanzania 'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Naungana na wewe vishule kujiita Internatuonal wakati havina sifa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Afisa TPA: Vigogo walitumia "vimemo" kupitisha makontena yao ya ndugu zao na ya wapendwa wao

    Si kwamba kasindwa hata ungekuwa wewe unapewa data tu unaanza kuwajibisha wenyewe kama wamepewa wanayachunguza hata ungekuwa ni wewe umemkuta mkweo labda kapewa pesa aseme lake utamwajibisha haraka haraka hivyo si mpaka uchunguzi ufanyike nyie nyie baadaye mnageuka kakurupuka wameshinda kesi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Wakristu wana ile kaba roho ila ndungu zangi hawa majanga
  6. L

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Mtu wa dini yeyote anaweza kuongoza isipokuwa huyo mtu kama ni mkristu anakuwa anawapa favoured nyingi wakiristu au mwislamu anatoa favoured kwa waislamu ndiyo udini huo na hiyo ni kitu cha mtu kiko kwenye damu na sehemu alikotokea pia kama ni wadini sana labda anawapenda kwa weakness zao ili...
  7. L

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Tatizo siyo Muislamu kuongoza kinachozungimziwa hapa ni udini favoured
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Ushauri kwa Mhe. Rais ni kuangalia system zilizopo katika utoaji huduma na ukusanyaji wa mapato na kuzifanyia marekebisho System ndiyo imuondoe mtu awe Serikalini mpaka private sector mwenye mtaji mkubwa na mdogo kuliko hivyo Mhe. Rais utajichosha kazi bado ni kubwa mbele yako
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Kwanza kabisa nimpongeze Mhe. Rais mtaafu kwa kazi nzuri ambayo Mhe. Rais Magufuli amepata pa kuanzia ushauri wangu ni kwamba waangalie kubinafisha baadhi ya sekta kwa Serikali kuingia ubia na hao wabinafsiwa au Serikali ifanye Centralized baadhi ya huduma zake za afya kwa maama ziwe Serikalini...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nikikatwa uspika nitakimbilia mahakamani kufungua kesi

    Hali halisi
Back
Top Bottom