Recent content by lemarr

  1. lemarr

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Askari Polisi ni matokeo ya Jeshi la Polisi kupuuzia mambo

    Ukipita kituo cha oyserbay asubuh ni watu wanatolewa huko mahabusu hawawezi hata kutembea miguu imeharibiwa, imefungwa pop na bado zinavuja damu. Nlikuwa hapo sku moja ikaja landcruser yenye tinted kuchukua jamaa walioteswa mpaka hawawezi kutembea nliwaonea huruma mnoo na unakuta ni suspected...
  2. lemarr

    JamiiForums Tanzania Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

    Itakuwa walishakaa kimya mno mpaka imefikia hatua hii ni mambo yanajisema yenyewe. Kwanza bado serikali ipo kimya kwa kusema sio ugaid ni majambazi. Hakuna chombo cha serikali kilichoreport ni ugaidi.
  3. lemarr

    JamiiForums Tanzania Kwanini baada ya makosa imebidi panga limshukie Dr. Possi?

    Ila possi ni intellectual (DR) angekuwa albino na standard 7 kama jamaa asingechaguliwa popote, na alikuwa ni lecturer pale UDOM nafkir amebobea kwenye sheria, kuwa balozi naona kama nguvu kazi tumeipoteza kwa maana kwa usomi wake angeweza kusaidia taifa zaid akiwa ndani ya nchi, maana possi ni...
  4. lemarr

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wakuu wa mikoa tuliwapinga machinga, Magufuli akawaunga mkono, nasi tumewaunga mkono

    Mkuu acha kufananisha KIFO na USINGIZI
  5. lemarr

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wakuu wa mikoa tuliwapinga machinga, Magufuli akawaunga mkono, nasi tumewaunga mkono

    Kwani wakienda kuisajilia kenya na kuiendesha kibiashara ikiwa huko si sawa tuu. Tutatumia jamiiforum yetu kama facebook tuu ambayo ipo huko ulaya
  6. lemarr

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wakuu wa mikoa tuliwapinga machinga, Magufuli akawaunga mkono, nasi tumewaunga mkono

    Point mkuu ni idea safi mnoo, maana hata ardhi ipo ya kutosha, tukiweka sawa soko la bidhaa zinazotokana na kilimo yaani mazao. Baadhi ya vijana wengi wangeingia kwenye kilimo na mwisho wa siku wangejikwamua.. ila sahiv tupo kama NYUMBU hatujui tusifie lipi lipi tukosoe
  7. lemarr

    JamiiForums Tanzania Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

  8. lemarr

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha AZAM mwandege mkuranga kipo kwenye makazi ya watu

    Hivi pale ni eneo la viwanda mkuu?
  9. lemarr

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha AZAM mwandege mkuranga kipo kwenye makazi ya watu

    u
  10. lemarr

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kiwanda cha kwanza cha Azam Fruits Processing Plant, Mkuranga Pwani

    Raia wanaoishi kuzunguka kiwanda hicho maisha yao yapoje. Na wana mpango gani nao? Sijaskia akizungumzia hilo. Maana sjui hapo kama ni eneo la viwanda.
  11. lemarr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana fadhila, leo wamemsahau Sabodo

    Hata zittokabwe wamemsahau, dkt. Slaa pia.. yaani ni kama makarai ya kubebea zege baada ya ujenzi yanatupwa, au kama makopo ya chooni.
  12. lemarr

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: "Wekeni akiba ya maneno"

    Zitto alionekana hafai, lakini tuone kama watafika
  13. lemarr

    JamiiForums Tanzania Picha: Hawa ndiyo watu maarufu wasiopokea wala kutoa Rushwa

    Zitto kabwe pia hapokei mkuu
  14. lemarr

    JamiiForums Tanzania Updates na Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Arusha leo 29/04/2015

    ACT Ni chama cha wazalendo, na hakuna pimbi atakayetambua umuhimu wa ACT, kama sio mzalendo wa nchi hii. pamoja na kashfa mnazompa zitto hayo yamepita na ameamua kujisafisha kwa kujiunga na chama kingine ili afute makosa na arudishe iman kwa watanzania, sasa bado tuu mnamuandama, hyo sio akili,
  15. lemarr

    JamiiForums Tanzania Zitto kutogombea Kigoma Mjini

    Zzk ni sheedah, november atarud dodoma kuendeleza harakati zake, wazalendo tupo pamoja nae!!:rockon::rockon:
Back
Top Bottom