Recent content by lelulelu

  1. lelulelu

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Nimepotezea vitu vingi sana ila hili nimeamua kutokulipotezea mkuu😂😂
  2. lelulelu

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Anayejua akaunti na jina la huyu manzi anipe wakuu, namtafuta sana
  3. lelulelu

    Nimechaguliwa kusoma Clinical Medicine, nijiandae vipi wakuu?

    Itasumbua kwa kozi yyte nikitaka kusoma au kwa kozi ya udaktari ?
  4. lelulelu

    Nimechaguliwa kusoma Clinical Medicine, nijiandae vipi wakuu?

    mkuu maisha ni kuamua tu,nimemaliza clinical medicine nimepata GPA ya kiume ya 3.3 kwa sasa mimi ni C.O ninayeweza kutibu vyema. Haya maisha ukitaka lako jipe muda na fuata unachotaka utafanikiwa tu.
  5. lelulelu

    Je, ni sahihi nikimwambia baba mkwe matatizo yangu lakini mke wangu (mwanae) asijue?

    Nani kasema matatizo ya mke wangu ? Mbona hamsomi vizuri wakuu.
Back
Top Bottom