Recent content by lelo-nge

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

    Basi huyo umjuaye wewe umemsoma katika lugha ipi, hija yake wafanyia kijijini kwenu au unavuka bahari , Najaribu kuwaza na kukuelewa, nashindwa! Wajitapa kwa kumjua Mungu wa jirani yako, tena Mungu huyu sio wa babu wala bibi zako kule kijijini!?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiosemwa juu ya dini za Kiafrika

    Upuuzi Mkuu kabisa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

    naomba unitag pia kwenye huo uzi, [emoji120]
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ukweli uliofichwa kwa miaka mingi?

    Hongera sana , nami nipo mbioni
  5. L

    JamiiForums Tanzania The KGB plays Chess

    Habari, napakua Kitabu hicho bila mafanikio... Kila nikijaribu, nashindwa kukipakua
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi : Alexander the Great akiwa INDIA

    Hivi huko ughaibuni wanafundishwa haya haya kweli...? Labda vyuoni wakiwa wanasoma "kozi" zinazohusu maeneo mengine, kwa sababu na wao wako na historia zao, tena kubwa na pana tuu Hii mitaala yetu hii na hivi vitabu vitumikavyo sijui nani aliviandaa? MKOLONI?
Back
Top Bottom