Recent content by Lel

  1. L

    Jairo asimamishwa kazi

    ....................Huu ndio uhhalisi wa hili jambo Mkuu. Baada ya muda kupita na watz tumeshasahau litaibuliwa jambo la kuzugia ili tupay attension then matokeo ya uchunguzi yatakua hapakupatikana ushahidi wa kutosha. Then DJ atatuwakilisha watz kwenye nchi nyingine kama nyie mmemchoka hapa Bongo!
  2. L

    Lema ukicheza utapoteza Arusha mjini for good

    Ni vigumu kuelewa wanachofanya CDM Arusha kama wewe si mpambanaji halisi. Mavazi ya CMD yenyewe yanamaanisha ''Man at Work''. Tukubaliane tu mafanikio hayaji bila pain. Hicho ndicho CCM wamekua wakitushinda nacho kila wakati. Mkichagua mpinzani wanabana maendeleo ya eneo husika mpaka...
  3. L

    Kwa spidi hii Rwanda watatuacha

    mawazo mgando yanatuchelesha kugundua wapi tumekwama na hivyo tufanye nini kujikwamua.kama hata la Rwanda kutuzidi spidi ya maendeleo kuna anaepotosha, tutakaa sana hapa chini kwa muda mrefu.
  4. L

    Dawa za kulevya: Viongozi wa dini sasa wajisalimisha; Wakiri kufanya biashara hiyo muda mrefu

    Kwani nani amesema kiongozi wa dini ni Mungu? Akiuza madawa ya kulevya/kuua mtu si achukuliwe tu hatua za kisheria kama mtu mwingine yeyote? Hapa tunafumbwa macho kuwa kiongozi wa dini ni mtakatifu sana akitenda dhambi i.e. Kuuza madawa jamii yote nywele ziwasisimke ila kiongozi wa serikali...
Back
Top Bottom