Recent content by lekiko

  1. lekiko

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Makamu wa raisi damu ya kichaggg, je! Katambi, wenje, bulaya, matiko, silinde, bashiru, mkumbo, kabwe, wasira na wengine weeengi. inaweza kuwa wote Wana damu ya kichagga?
  2. lekiko

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini ya Lissu: Heche kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026

    Huu ni Udhalilishaji, kumbuka hata sisi ndiko tunapoelekea. Hawa ni wazazi wetu wanahitaji kuheshimiwa
  3. lekiko

    JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

    NA CHA KUSHANGAZA ZAIDI NI KWAMBA KILA HALIMASHAURI, KILA MIJI NA MANISPAA, KILA KATA, MTAA MPAKA KIJIJI KUNA MABIBI NA MABWANA AFYA NA WAFANYAKAZI KITENGO CHA MAZINGIRA NA KILA SIKU YA KAZI WANARIPOTI KWENYE VITUO VYAO VYA KAZI NA MWISHO WA MWEZI WANAPOKEA MISHAHARA NA POSHO AMBAZO...
  4. lekiko

    JamiiForums Tanzania Kawaida: Kamati Kuu ilimuita Nchimbi lakini kwa sababu ya kiburi na kudharau chama aligoma kuja, tukamfukuza

    Ni vizuri pia viongozi kuwa na kiasi, naona Kila kiongozi wa chama kwenye ngazi yake amekuwa msemaji wa utovu wa nidhamu wa Nchimbi na kubwa ukiwasikiliza wanasema alikaidi kufika/kuitikia wito wa kamati ya nidhamu, ushauri kwa hao wasemaji kwa vile maamuzi yalishatoka wangelikaa kimya sababu...
  5. lekiko

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati, kabla ya kudai-ulizeni kwanza! Deogratius John Ndejembi ni kijana wa Dodoma

    Mbona Shabiby anasema ni mjukuu na mama yake ni Mchagga, kwa mkanganyiko huo kwa nini watu wasitie shaka.
  6. lekiko

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Ndejembi ni Mgogo, wanaoandika kwamba Deo katokea upande fulani, hawaelewi ni Kabila gani. Namfahamu kuanzia kwa babu yake

    Hata Mimi naanza kujichanganya, ni mtoto wa Mzee Ndejembi au ni mjukuu, Kuna mchangiaji mmoja alisema baba ni mgogo mama ni wa kongwa, huyo mama aliyemzaa anamuita Mzee Ndejembi mkwe au Mume? mwingine akasema baba ni mgogo mama ni Mzanzibar, Shabiby anasema Babu ni mgogo mama ni Mchagga, Sasa...
  7. lekiko

    JamiiForums Tanzania Tulikubaliana hii serikali hatuitambui kwanza sio halali kinachotokea hapa jukwaani ni usaliti

    7) Iwapo mgombea ametangazwa na Tume ya Uchaguzi kwamba amechaguliwa kuwa Rais kwa mujibu wa ibara hii, basi hakuna mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya kuchunguza kuchaguliwa kwake.
  8. lekiko

    JamiiForums Tanzania Kisiasa, influence ya Freeman Mbowe ndani ya chadema ni amazing sana.

    Ukweli kama ni matusi aliyavumilia na hakijibizana na yeyote, ilifika wakati aliambiwa kwenye uongozi wake chama kilipoteza mvuto mpaka alipoitisha maandamano akaandamana yeye na mtoto wake, aliambiwa aligeuza chama kuwa saccos yake, wengine walidai wanamuheshimu ni Bora awaachie chama chao...
  9. lekiko

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

    Kama haiongozwi na vitabu vya dini wangeacha kuvitumia wakati wa kuapa, na wangeacha utaratibu wa kufungua vikao na mikutano kwa sala. Unaelekea wewe unatokea sayari ya mars, ya humu duniani tuachie wenyewe.
  10. lekiko

    JamiiForums Tanzania Kuishi kwa mazoea badala ya sheria

    Mjini ni wapi.
  11. lekiko

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Serikali haiwezi kujenga kila kitu, punguzeni kuzaliana, tumieni uzazi wa mpango

    Mwanzo 1:28 Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Katiba tumeshindwa kuifuata, Hata Kitabu cha MWENYEZI MUNGU...!
  12. lekiko

    JamiiForums Tanzania Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

    Unaweza kuwa upo sawa sana, changamoto iliyopo ni kubwa kuliko unavyofikiri, kama taifa Kuna haja gani ya kuwa na siku ya usafi wakati Kila mtaa una bibi na bwana afya? Kila kata Kuna kitengo cha afya, hao mabibi na mabwana afya Kila siku wanaripoti ofisini na kupokea malipo ya kazi hiyo, pili...
  13. lekiko

    JamiiForums Tanzania Wasira: Si vizuri nchi yetu kujenga taswira ukikosea sheria jibu ni maridhiano. Haiwezekani kila mkivunja sheria mnaitaji busara

    Kitu kibaya zaidi kwa huyu Mzee ni kwamba amesahau kuwa alikuwa ccm akahamia nccr, halafu akarudi Tena ccm, anachotakiwa kuelewa ni kwamba alihamia nccr baada ya maridhiano na alirudi Tena ccm baada ya maridhiano, Sasa inakuwaje anapinga maridhiano? wakati hata yeye alipita humohumo
  14. lekiko

    JamiiForums Tanzania Kama kweli tunahitaji umoja na mshikamano katika taifa letu, kwa sasa Wasira hatufai CCM

    Kwa uelewa wangu umri kuanzia miaka 80 binaadamu yeyote anaanza kupoteza kumbukumbu, Sasa kwa huyu Mzee nafasi aliyonayo ni kubwa na busara inahitajika sababu uongozi sio Kipaji, Uongozi ni Karama, binafsi kama mtanzania ningelishauri kuwe na Baraza la wazee nchini ambalo linaweza kuwa na...
  15. lekiko

    JamiiForums Tanzania Chalamila, Stendi ya mabasi ya Magufuli ni ndogo. Mabasii yanakosa sehemu ya kushushia na kuegesha

    Tatizo kubwa ni kuwa mshabiki au chawa wa Kila kitu, na mbaya zaidi hatufikirii, aliposema mabasi yarudi magufuli alimaanisha kuwa sehemu ya maegesho ni mbezi stand na sio shekilango ama eneo jingine lolote, Sasa wameyaleta mabasi hayo stand wale wale mliokuwa mnamuunga mkono Sasa mnashauri...
Back
Top Bottom