Recent content by Lekanjobe Kubinika

 1. Lekanjobe Kubinika

  Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

  Hawakushindwa jujitetea Hawa makomando. Wameheshimu uzakendo zaidi ya uvumilivu. Kama pa private tu na migambo wakizinguliwa wanauwasha moto miyaani, kweli JWTZ wameshinda kulitetea jeshi na utu wake? Au JWTZ unaowapa ujumbe wajeshi kwamba wawe kondoo wadhaifu KWA kuonewa tu? Hata kama...
 2. Lekanjobe Kubinika

  Kiufupi suala la kupigwa risasi Tundu Lissu ndo chanzo cha awamu ya Tano kuchukiwa nchi nzima

  Unajuaje kama watu wote walihuzunikia Kifo chake na sio wengine walikusanyika ili kusherehekea. Aliyeumizwa sidhani kama aliguswa Kwa maumivu bali Ilikuwa faraja fulani hivi kwake
 3. Lekanjobe Kubinika

  Mmomonyoko wa maadili: Nimevifuma vitoto kichakani vinafanyana

  Ulikuwa mchezo wa bwana na Bibi HARUSI tu wenzio dah! Jamba madogo? Hukuwahi kucheza mchezo huo hapo Zamani za kale?
 4. Lekanjobe Kubinika

  Napendekeza Katiba ya CCM irekebishwe ili Dkt. Magufuli aendelee kuwa Mwenyekiti hadi atakapoamua kung'atuka kama Nyerere

  Hapo sawa. CCM waendelee na umilele wa chama chao lakini wasilazimishe KATIBA YA NCHI na umilele wao. Latina ya nchi inatambua uwepo wavyama vinginakila chama kina sera zake, ziheshimiwe.
 5. Lekanjobe Kubinika

  Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

  Tatizo sio kupigiwa kura hapa Afrika. Je, hiyo tume ya uchaguzi ITAMTANGAZA MPINZANI?
 6. Lekanjobe Kubinika

  Kazi nzuri TISS: Mwingine wa kundi la ‘Wasiojulikana’ aliwa kichwa

  Sasa hao JK + EN ndo nani?sasa hao JK na EN ndio nani?
 7. Lekanjobe Kubinika

  Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

  Nadhani Tunahitaji kuweka ushabiki pembeni ili kuuelewa ukweli wa mtoa hoja
 8. Lekanjobe Kubinika

  Wanajamvi wenye vyeti feki muichukue kama ilivyo japo inauma

  Mwongozo ni kwamba asiyefanya kazi asile, and the converse is also true.
 9. Lekanjobe Kubinika

  Wanajamvi wenye vyeti feki muichukue kama ilivyo japo inauma

  QT zipo waende kusafisha majina
 10. Lekanjobe Kubinika

  Dk. Mwaka afungua kampuni, ni ya vifaa vya afya, urembo na usafi

  Ukimjua adui yako vzuri utapambana naye tu hadi ushndi. Mwaka anawajua wabaya wake na silaha zao. The man has become an international figure now, fight him here atapaa tu kule nje ya nchi.
 11. Lekanjobe Kubinika

  Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

  Nchi zingine kama za Scandinavia wanao utaratibu wa kujenga maeneo ambayo mwanamke anapotaka kunyonyesha anaenda kule anakutana na wenzake kunyonyesha. Ni marufuku kunyonyesha hadharani na ni jambo la kisheria. Kwao ni sahihi kwa sababu wametoa mahali maalum mbadala kwa kunyonyesha. Kama upo...
 12. Lekanjobe Kubinika

  Ripoti ya Benki ya Dunia: Tanzania ina uchumi unaokua kwa kasi kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki

  Lakini siku zote tumezoeataarifa za kukua kwa uchumi wa kwenye makaratasi, wakati maisha ya kawaida yanadorora. Watanzania tumekuwa hodari kwa kujieleza kuhalalisha hali duni kwa kuyapamba kwa maelezo hafifu maana sio jadi yetu kutafuta majibu halisi kwa maswali magumu. Tunapendelea kutumia...
 13. Lekanjobe Kubinika

  Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

  Hilo ulioko hakina Hata zahanati? Acha kupuuza fani za wenzio, bends na mgonjwa kumwona daktari. Usimfanye mtoto wa wenzio guinea pig kwa kujaribisha Tina halafu akiishia zake ukawaumiza ndugu zake. Hilo tatizo linadhibitika hospitalini. Tuepuke siasa kwenye Afya za Watu.
 14. Lekanjobe Kubinika

  Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

  Sipati picha hiyo dissertation yake na paper zake, aliandikiwa kwa Jodi ya uwaziri wake? Supervisor wake ni Nani hivi?
 15. Lekanjobe Kubinika

  Hali tete wananchi kuiadhibu CCM

  Wapigwe chini tu. Maana hamna namna nyingine tena. Chama kinajifanya juries ate Pelee ndio kin a chin u a kila kitu Hata kutufikisha haha hovyo, wamedharau wosia wa wanzilishi wao. Ah, mimi nami nasema kipigwe chini tu.
Top Bottom