Recent content by Lekakui

  1. Lekakui

    GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Chadema acheni porojo,njooni na sera zenu,mambo ya kusema wengine sio tija,nyie tuelezeni mtatufanyia nini watanzania?maana leo anaenda kutembelea kiwanja you are wasting your time ya kampeni,juzi ulikuwa kifungoni why wasting time??????
  2. Lekakui

    GE2020 NEC: Kila Chama cha Siasa kimeruhusiwa kuweka wakala kwenye kila kituo ili kulinda maslahi ya Chama na Wagombea

    Kwani kanuni zinasemaje kuhusu hilo?kama kuna mawakala huko ndani ya kituo cha kupigia kura unasubiria nini tena hapo nje?kukwepa matatizo yasiyo ya lazima na vyombo vya dola ukishamaliza kupiga kura kapuumzike nyumbani mengine tume itafanya kwa mujibu wa sheria na kanuni
  3. Lekakui

    GE2020 Video: Polisi wakisindikiza msafara wa Lissu unaoshangiliwa na kupungiwa mikono na maelfu ya wananchi

    Mbona bado mapema sana,kampeni zikianza mjise anza kulalamika watu wangu wa CDM,mziki wa Magu sio wa kitoto,tutakuja kufananisha huku siku moja
  4. Lekakui

    Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    Huyu mbona alishahama CDM siku nyingi?kweli watanzania hatutaki kufikiri nje ya Box,huyu ni wa kwetu tangu siku nyingi,wala msihangaike hii kitu ilishakuwa kwenye pipe line kwa muda Mrefu sasa na aliyechochea hili zaidi ni mzee baada ya kurudi nyumbani,muwategemee wengine wengi kurudi,the likes...
  5. Lekakui

    Boeing na tolea lao jipya some thing wrong, je technical default au pilot knowledge gap

    Ulichokisema ni sawa kabisa,hizi ndege 737 seating configuration yake ni 3 kwa 3.hii iliyopata ajali inaoneka ni wide body 2 kwa 4 kwa 3,sasa huenda kuna kitu hakiko sawa,anyway ndo hivyo siku ikifika imefika tu,kikubwa ni kuwaombea wote waliopeteza maisha wapate puumziko la amani,
  6. Lekakui

    Kufungwa maduka ya kubadilisha fedha madhara yaanza kuonekana

    kaka wapeleke BOT watapatiwa huduma,lakini pia hata kwenye mabeni yote anaweza patiwa huduma mbona hakuna kilichoharibika?fuatilieni habari kwa umakini acheni kulipuka,yaani napatwa na hasira hadi nataka kusema maneno ambayo najua nitaishia kupigwa ban
  7. Lekakui

    Hasara nyingine kwa Tanzania maamuzi ya kukurupuka soko la dunia korosho ni 2600/= tumepata hasara ya 700/= kwa kila kilo moja ya korosho Zimbabwe

    Hii habari sio kweli no research no right to speak my friend get your facts right!!
  8. Lekakui

    Uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho wabamba Dunia nzima: Bei ya korosho yaongezeka kwa 10% katika masoko ya Dunia wakihofia zuio la Rais Magufuli

    Aisee huyu jamaa nilishasema na ninarudia tena "NI ZAWADI KUTOKA KWA MUNGU" ofcourse as a normal human being ana mapungufu yake kama kila mmoja wetu,lakini hiki ni chuma cha pua hakishiki kutu na hakipepesuki,tumuombeeni kwa Mungu maana hii vita ya Uchumi ni mbaya sana na imeshikiliwa na watu...
  9. Lekakui

    Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu

    Mimi nasupport hii kwa asilimia 100,kuna siku nilienda kubadili hela mahali alikuja MCHINA na rundo la hela za kitanzania na kununua dola za kutosha hawa ndio wanaotumaliza,hili alilolifanya Rais wetu lazima tumuunge mkono kwa nguvu zetu zote,lakini lifuate pia la kuwafukuza wachina wanaoishi...
  10. Lekakui

    Sweden: Tanzania's ambassador, Dr. Slaa called to the Foreign Ministry for a reprimand

    Tanzania is a soverinity country,so i don't see any big deal there,they can even call our foreign affair minister if they want to hear from the guy on the ground,tuko gado
  11. Lekakui

    Kama wabunge wanalipwa asilimia 100 ya mafao kwanini watumishi walipwe asilimia 25?

    Nadhani wewe ndo haujaajiriwa,mimi niko kwenye ajira mwaka wa 15 sasa na nimeshaqualify kuwa pensioner,nimeshachangia miezi 180,hela niliyonayo huko niya kutosha,ila nilikuwa natoa mawazo/maoni kuhusu hao wanaolipwa mafao yao yote kwa mkupuo,ni kweli sheria imeshapita na hakuna namna ya kuifanya...
  12. Lekakui

    Kama wabunge wanalipwa asilimia 100 ya mafao kwanini watumishi walipwe asilimia 25?

    kama ana taaluma ya udaktari anaweza ajiriwa bila shida yeyote
  13. Lekakui

    Kama wabunge wanalipwa asilimia 100 ya mafao kwanini watumishi walipwe asilimia 25?

    Bro kwa kifupi ni kwamba hawa sio waajiriwa,kazi zao ni za muda mfupi miaka 5,na pia haina uhakika wa kurudi so inabidi wapewe mafao yao kwa asilimia 100,na pia wengine bado umri wa kustaafu hawajafika so wanaweza pata ajira zingine,so nadhani hilo ndo kubwa waliloliangalia,my ten cents
  14. Lekakui

    Ikulu: Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na Rostam Aziz

    Alafu watu mnapiga kelele Korosho hazina soko,hapo juu Mkuu mwenyewe anapiga Coffee na Korosho sasa kwanini siziuzike kwa 4000 kwa kilo?soko tunalo hapa hapa Tanzania tulieni vijana mkuu achape kazi
  15. Lekakui

    La Korosho, hongera CiC, CDF, likifanikiwa, mnaonaje jeshi letu liunde kampuni, kama ilivyo kwa Vietnam? Hata Vietel ya Halotel ni ya jeshi

    Bro nadhani haujanielewa,lakini kikubwa zaidi nadhani haukufuatilia hotuba ya waziri mkuu jana,nilichoandika hapa ndo ukweli wa mambo,waziri mkuu ameeleza tayari wameshapata sokola kuuza takriban tani 150,000 kama sikosei kupitia kwa mabalozi watanzania walio nje ya nchi,hii ilifanywa tangu muda...
Back
Top Bottom