Recent content by Lein

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa leo jamani tuwe tunaheshimiana katika dini waislam na wakristo

    Ni jambo la kufurahisha sana km tutaendeleza mshikamano wetu ambao ni urithi wa wababu zetu,walipendana sana na kushirikiana ktk kila hali bila kuangalia tofauti zao za kiimani.Kama tunaweza kuleta heshima katika hili sisi wa JF basi upo uwezekano mkubwa na wengine wakafanya hivo na hatimae...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa leo jamani tuwe tunaheshimiana katika dini waislam na wakristo

    u mstaarabu na mwenye heshima sana. mimi huwa ninajitahidi nifuate mwendo wake vijana wengi siku hizi wanafuata Dini kama mambo ya mpira huwezi ukatoka kwenda kuchoma Kanisa au Msikiti eti kwa sababu wewe hupendi Dini ya Mwenzako huo ni uzushi mkubwa na unafiki hata Mwenyeezi Mungu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Namna ya kurusha ndege....

    Hahahaaaaa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Amani na Usalama wa Tanzania uko kwa Watanzania wenyewe

    Kwa kweli inasikitisha sana !
  5. L

    JamiiForums Tanzania mtazamo tu

    Hiyo ya wizara ya ustawi wa jamii nimeipenda sn ! Hahahaaa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nikikushika tu nakukukula kiboga

    Aisee jamaa wala haamini anaona km kaliwa ! hahaaaaaæ
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mlipuko Arusha linganisha matukio haya, je yanawiana?

    Hebu jamani kwanza tufike mahali tujiulize haya yametokea na tushampoteza ndugu yetu mmoja na wengine majeruhi, je nini kifanyike ili hili balaa tukabiliane nalo. Ahsanteni
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwanza JF users: Tuunde umoja/utambuzi wetu

    Kwa upande wangu naliona hilo ni wazo zuri members tukiwa tunakutana mara moja kwa mwaka, bila ya kujitambulisha majina yetu ila kwa sura tu na pia tunaweza tukapeana namba za simu lkn majina ukasave unavyopenda mwenyewe . Hope kwamba sio kila unaweza ukakiweka open hapa wakati mwingine unakuwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo: Adamu na Hawa waliishi Ngorongoro

    Hahaaaa!yaani babu kweli kapagawa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Je Wewe Ni Mzazi? Ushauri Wako Kwa @Karucee Please.

    Mkuu mtoto mdodo wa umri huo ni kweli anatakiwa awe karibu sana na baba na mama muda wote lakini kutokana na majukumu inakuwa ngumu kidogo, ni vyema Kama muda unao bac endelea kuwa karibu nae karibu tu lakini km muda haukuruhusu unaweza ukawa unawacheki kwa simu Mara kwa Mara sio mbaya
Back
Top Bottom