Recent content by LEGANGA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Mmmmh.......!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa siamini kama unaweza pata mwenza JF

    Kila la kheri..!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Alhamdulillah, Jf imenipatia mke mwema

    Hongera sana mkuu mungu awajalie kheri....
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume anayetaka mwanamke bikira

    Jamani.... wanawake wa kizazi hiki mmmmh.....,
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata mke mwema hapa!!

    Cynthia Chriss;punguza munkari LEGANGA .sasa kweli unataka dini yoyote?mmmm hapo ndo uminitisha vininevyo ningetuma cv. Unatishika na nini tena?? Au kwa kuwa nimekuwa muwazi na mkweli sana??
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata mke mwema hapa!!

    Hapo umenena ndugu yangu.....
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata mke mwema hapa!!

    Evelyn Salt hakuna asiyekujua kwa uaribifu wa thread za watu, nadhani wivu ndio unaokusumbua uolewe basi ili uache hii tabia, hutaki kuona mtu anampata mwenza wewe ni mtu wa aina gani hakuna zuri kwako. Hujafundwa huko kwenu?? Huo sio uunngwana kabisa kila post unachafua tu unatuchosha sana.....
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata mke mwema hapa!!

    Inawahusu wanawake tu, wanaume mnatafuta nini ktk thread hii!!? Kuweni waelewa.....
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata mke mwema hapa!!

    Imani haba zinakusumbua!!!!!
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naamini nitampata mke mwema hapa!!

    Habari wanaJF, mimi ni mkaka wa miaka 39 mwajiriwa, natafuta mke wa maisha yangu kuanzia miaka 30-35, sichagui wala sibagui ''DINI, KABILA, RANGI, MWEMBAMBA AU MNENE, ELIMU NA MENGINE MENGI KAMA HAYO'' Nahitaji mtu mwenye mapenzi ya dhati toka moyoni na mwenye malengo ya maisha nipo serious sana...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    Mmmmh....kirahisi rahisi hivyo..!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuzaa nae.

    You're not serious men...!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kumuoa

    All the best my brother....
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa

    Kila la kheri kaka.!!
  15. L

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kufanya mapenzi sababu nawaogopa sana wanawake

    Hongera sana mdogo wangu hakuna madhara yeyote....
Back
Top Bottom