Recent content by legacy15

  1. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenye mafanikio wanavyotudanganya

    Ukitaka kujua kwa nini watanzania na waafrika ni masikini soma comment za humu, ujinga ni mzigo kwenye jamii zetu utajiri na biashara ni formula tu haijalishi umeanza wapi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya kahawa

    Hivi ndo biashara hii inavyo fanyika kwa sasa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Toka nimeanza kuwa na uelewa mpaka leo nasikia kuwa 'Hizi ni siku za Mwisho'

    Yesu anaoneka alikuwa mhuni sana kafanikiwa kudanganya watu kwa zaidi ya miaka 2000 na bado watu wana matumaini atarudi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumiaji wa marijuana ni watu makini ukilinganisha na watumiaji wa pombe.?

    Maisha yangu bila bangi haya wezekani, huwa napata something extra kwenye maisha yangu kupitia bangi inanifanya nifikiria vitu vikubwa ina ni punguzia stress sana za maisha, music sound like magic achana na bangi, tuvute bangi jamani
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Asili: Mtaalamu Anahitajika

    Inasikitishana kusoma thread kama hii yaani mtu ana amini ushirikina kiasi hiki Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Unachokiongea hata kwenye bibilia hakijaandikwa hapa ndo huwa tunajua kabisa mungu anaelezwa kwa hisia za watu ila hayupo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kidoctor: kuanza kuona vitki u vya ajabu kama vifo, na tatizo lilianza baada tu ya kutoka kujifungua

    Kama kichwa kilivyo jieleza nina mchumba wangu ambaye amekuwa akilalamika kuwa anaona vitu vya ajabu kama vifo hili tatizo anasema lilianza tu alipo jifungua ila kwa sasa tatizo lina zidi kuongezeka kuliko lilivyo kuwa mwanzo na toka amejifungua ni mwaka sasa umepita ningependa kujua tatizo...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

    Nimetoka kupima mkojo vipo vimeonesha kama hivi kwenye picha china japo huyu daktari kasema nije kesho kuonana na ddaktari mwingine ambaye anaweza kunisaidia kwenye hilo tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

    Shida huwa nikienda hospitali wanasema sio tatizo baada ya kupima kila kitu ila shida tatizo haliishi ila sasa itanibidi nianze kutumia kinga zidi yake mpaka nitakapo hakikisha tatizo lime kwisha Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    JamiiForums Tanzania Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

    Nitashukuru sana japo nataka kwenda hospitali kabisa ila hata ukiandika hizo dawa itakuwa bora kwasababu zina weza kunisaidia kwa uelewa zaidi wa magonjwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

    Nashukuru sana mkuu kwa ni fanye hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    JamiiForums Tanzania Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

    Na shukuru mkuu msaada naomba wa ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. L

    JamiiForums Tanzania Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

    Hapo kwenye tundu la mrija ndo kuna vinyama fulani kama unaona mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

    Nimewahi kupima naye ukimwi tu ila mengine hapana na pia waganga wajadi hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. L

    JamiiForums Tanzania Msaada picha: kutokea vinyama kwenye mrija wa umme wa mkojo

    Habari za jumapili wanajamii Nina mwaka sasa toka nimeona hivyo viuvimbe kwenye mrija wa mkojo nimeende hospitali kama mbili wote na kufanya vipimo kutokana na ushauri wa daktari wamesema sio tatizo ila mimi bado na wasiwasi kuwa huweza likawa tatizo. Japo sipati maumivu yoyote au kutoka...
Back
Top Bottom