Recent content by lebra

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa aandaa waraka kumchanachana Kikwete kesho (Julai 20, 2015), kutimkia ng'ambo...

    SAA ngap atatoatamko
  2. L

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Madeni Kipande

    Tunasubili tazara tuone atafanyanin
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhari: Wizara gani imetimiza natarajio ya wananchi (2005-2015)

    Wizara ya ulinz peke take ndo imefanikiwa ila hizo zingine hamna kitu
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    Wakiyembe hamna kitu yule yeye anapenda kufanya kaz na vyombo vya habar kama alikuwa na ninia ya kufufuwa reli nchin mbona aliwaacha menejiment ya tazara kuiuwa tazara
  5. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Nitazirejesha fedha za Rugemalira

    Kaz ya uaskof imemshinda huyo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chenge anaongoza kwa kuchukiwa na Watanzania wengi nchi nzima

    Chuki siyo kwa change tu nisisim kwa ujumla
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwakiembe uwanja wa ndege umekuponza

    Huyo mwakiembe hamna kitu nimpenda sifa tu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Harrison Mwakyembe anafaa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa JMT

    Acha kumpigia kampen huyo mshenz Leo tumpench wakat tazara imemshinda
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nchi Imefikisika? Kuna WATUMISHI wa Umma Hawajapata Mshahara tangu Oktoba 2014!

    Mtoa mada nikweli unachosema kwa mfano shirika LA uma LA tazara hawajalipwa mishahara yao kwa mda wa miezi mitano
  10. L

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Mwenzake zito alionyesha njins viongoz was din majaji walivyochukuwa hela ye mbona hajainyesha
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kuhusu ndege ya rais wa China kubeba Pembe za ndovu na kusema ni uongo

    Kweli inashangaza kitugani tulichonacho mpaka watuone wivu tunamsubilia sasa alivyoenda China alituadisia walicho mfanyia sasa ajiandae kutuadisia ya marekan na asipo tuadisia aachie nchi
  12. L

    JamiiForums Tanzania Prof. Kikwete aenda Marekani

    Wachatuone sijui akirud ataenda nchi gan
  13. L

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    Kiukweli inasikitisha sana
  14. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi TPDC watiwa mbaroni kwa kuinyima PAC mikataba ya gesi tangu 2012

    Mengi yatatokea hii ni dalili ya kufa kwa ccm
  15. L

    JamiiForums Tanzania Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

    Sasa hiyo bandar minasubilia ya tazara tuone nawao matumizi yao yakoje maana wote hao ni watoto wa mwakiembe
Back
Top Bottom