Hii hali maranyingi utokea kupitia uke na hutokea pale ambapo uke unakua open sana na hewa ikaingia ndani so kujamba kule hutokea kutoa hewa iliyoingia ndani fatilia hii issue hutokea mnapokua mnasex ba feni inawapuliza sana na kwa upande mwingine ni ugonjwa mtu anapokua na loose vagina meaning...
Mi nlishaga confirm kitambo IFM since october sema ndo ivo tu option nyingne ilikuja ya kuregister chuo chochote ulipochaguliwa thats y nikauliza but frm the bottom of ma heart i love taxation n nmesoma diploma yake ITA
Asante, kuhusu part time nachojua zipo na hakuna kusubiri kipind kimoja kimoja kama full time yenyewe vipind vinafululiza unamaliza na kuondoka test mnafanya wote na mitihani but kama una mkopo the moment u shift kwenda part time hutokaa upate tena mkopo wanausitisha imewatokea hata friends wangu
Wakuu kati ya BBA (Bachelor in Business Administration) MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu.
Wakuu kati ya BBA(Bachelor in business administration)MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.