Habari Jamii forum,
Mimi ni fundi na mbunifu wa kudisign nguo mbalimbali za kike. Kwa sababu hizo office yangu inatoa nguo nzuri na kuperekea kua na wateja wengi kutoka mikoa mbalimbali ambapo sasa siwezi kumudu kazi, nahitaji kuajiri mafundi wazuri kwa kazi, wenye nia na kujituma pia waaminifu...