Recent content by Le Professier

  1. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msichezee amani ya Tanzania, angalieni sababu za nyie kushindwa

    Umesahau na makamba kufungua kesi ya kupinga matokeo ya majimbo manne walioshinda CHADEMA, ana maanisha nini kama sio kutokuwa na imani na NEC..
  2. L

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Eti watu tumeshamkata.. kwan na ww ulikuwepo au ndio kutafuta kiki tu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    Ngoja nianze kupasha mapemaaa nijiweke fiti..
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Afadhali maana mafisiem yamezidi wiziiii..
  5. L

    JamiiForums Tanzania Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hiyo ni fake account imebuniwa na lumumba...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nipo mikumi hapa CHADEMA profesa j anaongoza 96% ya kata zote na diwan wake mikum mjini ameongoza kwa kishindo yaan hapa tunapata moja mbili kujipongeza kutoka uteja wa ccm..
  7. L

    JamiiForums Tanzania Polisi na NEC, itoe ufafanuzi wa haraka juu ya hofu ya 'kura feki' kila kona

    Picha la kihindi ndio linaanza na stelingi anakufa kwenye majani..,
  8. L

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mzaha wa kiuongozi

    We pimbi kumbe hata ww pia hujielew, hivi ww hujiulizi kashfa ya mwaka 2008 inakuja kutolewa majibu leo..? Escrow, EPA,Mabehewa mabovu, kivuko kilichonunuliwa kwa pesa nyingi wakat kimechakaa na kukamatwa kwa pembe za ndovu. Hayo yote nani atakaetupatia majibu..? au ndio tusubir wakiingia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Msongola: Watu 4 wamechomwa moto na mabox ya kura

    Hii ni hatar sana na inabidi kesho tume itoe tamko.
  10. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    Chaguo la vilaza
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watakaoshinda uchaguzi huu, waanze "safisha safisha" kwenye Taasisi gani ya umma?

    Ccm ndio iliyomchafua na inastahili kusafishwa kwa kuondolewa madarakani..
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    Inaonekana amezoea xana shobo ndio maana kapigwa DUDU..
Back
Top Bottom