Recent content by LC300

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kijana: Maisha ya mtaani hayatambui cheti

    Cheti ni kiashiria kuwa wewe umepoteza muda wako kwenye kukariri na sio kuelimika. Hivi kuna tajiri aliyekuwa Tanzania One kweli? 😂😂
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kijana: Maisha ya mtaani hayatambui cheti

    We nawe unajengaje hoja na huna kitu mfukoni.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Bunge labaini kusuasua kwa usafiri wa Mwendokasi Dar

    Wanatuona kama matako yao eeh 😏
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimuahidi mwanamke kumuoa wakati huna malengo naye

    Hali yako naielewa na kinachokuumiza zaidi ni kumuuzima moyo yake kwa uongo wako. Ila jua ya kwamba... iwe isiwe lazima aumie ndo apone. Heri aumie mapema kuliko aumie muda ukiwa umeenda. Pia kama hana kasoro we ishi naye kwa sababu sisi binadamu huwa tuna watu wetu kichwani wenye vigezo fulani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

    Ningeshindwa kushangaa kama angebabaishwa na hiyo case. Ni case ndogo sana 😂
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

    Ni heri umtoe mama yako kafara tu. 😏🚮
  7. L

    JamiiForums Tanzania Deni la serikali lafikia Tsh. Trilioni 96.8, limeongezeka kwa 18.8% na bado ni himilivu!

    Ulafi wa viongozi wanaoendesha nchi... Ni aibu kwa nchi kiujumla. Kodi hazifanyi kazi husika 🤦🏾🤦🏾🤦🏾🤦🏾
  8. L

    JamiiForums Tanzania Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

    Ukiwa na hela sidhani kama kuna jambo haliwezekani hata kama ni kinyume na sheria.
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bahiri kupitiliza

    Huo ubahili. Me naamini huna hela. Pia, ukimpata mpenzi wote mkawa na malengo hawezi kukuchuna hata 50 atahitaji hela za kawaida tu kama voch, nauli, hela ambazo hata wewe utahitaji. Pia huo ubahili huweI kuwa na maisha mazuri kamwe. Hivyo Jiangalie kijana. Hata ADA, CHAKULA NA MAVAZI huwez mudu...
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wenu kuhusu uhusiano wangu na mke wangu

    Nipe namb nitaigiza mm mganga nitakuwa namtisha atulie ila ww utakuwa unanipa siri kwamba yupo wapi ili nimuigizie zaidi kuwa ninamuona kwenye kioo changu. Kama ni muoga atatulia katika jina la Yesu. 🫡
  11. L

    JamiiForums Tanzania JET LI amkabidhi mkewe umiliki wa mali zake zote

    Vijana wa kiume msio na imani na kila mwanamke bado nyie hamjaona mengi na hamjui undani wa watu hao. Ni hivi wanawake wazuri na wenye utu ndani wapo tena wengi tuu. Dhana za kukaririshana kuwa wanawake wanapenda hela na ni wasaliti baada ya kupata pesa sio. Jichunguzeni hata wanaume pia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Siri na uongo wa manabii wa sasa

    Watu wengi hukimbilia miujiza hasa makanisani kwa manabii wetu hapa Tanzania bila wao kujiuliza maswali ya kina na kujijibu. Kwa wasiojua siri na uovu wa manabii wengi hapa Tanzania na hata nje ya nchi basi na wayajue haya. Kuna makanisa ambayo ni madogo au machanga yana M-ngu wa kweli lakini...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa nguvu ya pesa na jicho la tatu

    Utapeli wa sasa hivi unatumia hela kwanza kujenga imani na kuwatamanisha watu.
Back
Top Bottom