Mfanyakazi wa kufanya usafi anahitajika.Ofisi ipo Upanga-Ilala. Ofisi ni ya sheria. Kazi ni kufanya usafi wa ofisi kama kufagia na kudeki etc.
Kwa maulizo zaidi tuwasiliane 0784058879
Salaam..Natafuta kijana mwenye Diploma ya Mifugo kwaajili ya kuangalia Mifugo shambani.Lengo ni Kusimamia na kutibu Mifugo Shambani.Shamba liko Morogoro manispaa.Kwa mawasiliano zaidi 0686666666.Asanteni
Natafuta mtaalam wa mifugo ambaye atakua na certificate au diploma ya Mifugo kwaajili ya kusimamia Shamba la Mifugo ambalo linajihusisha na ufugaji wa Nguruwe na ndege kama kuku..bata etc.Ni vyema awe na ufahamu wa kutunza na kuhudumia mifugo kitaalam kama kuchoma sindano..dawa na chanjo.Shamba...
Concern nzuri..hawezi fanya vyote hivyo lakini anaweza wakati flani akawanafanya housekeeping na wakati mwingine au siku ingine ikabidi aingie jikoni..so akiwa na uzoefi wa vingi ni bora zaidi
Salam..nahitaji mhudumu wa hotel sio lazma awe amesomea hotel management au hotelier lakini awe na uzoefu wa kazi kwa:
1. Kuserve wateja chakula na vinywaji
2. Kufanya House keeping
3. Usafi wa jumla
4. Akiwa na uzoefu wa kupika ni bora pia
Hotel ipo Morogoro Mjini na sehemu ya kulala kwa...
Natafuta vijana wa kazi ya Shamba la Mifugo.
Nafasi ni mbili. Wawe na uzoefu wa kufuga kuku wa mayai na nyama pia,wafahamu chanjo muhimu na tiba pia.Elimu ya mifugo ni vyema lakini sio lazima uzoefu ni muhimu zaidi.
Shamba lipo Morogoro mjini.Tuwasiliane kwa ujumbe mfupi ili nikupigie.Uziefu...
Umeuliza swali zuri...Je anaumri gani?ni aina gani ya mbwa?kama amezidi wiki 4 muulizie kama amempa chanjo ya DHLP?Dawa ya minyoo pia.Naomba tuanzie hapa na kwaushauri nichek 0686 666666 mimi pia nafuga mbwa
Salaam..
Naombeni msaada wa kupata ngamia wa kununua hapa Tanzania. Nahitaji wadogo kwa lengo la kufuga. Mwenye nao au anejua pakupqta naombeni msaada. Tuchekiane kwa namba 0686 666666.
Asante sana
Natafuta kijana wa kazi ya shamba ya kutunza Nguruwe.Nahitaji awe na uzoefu wa kazi hii hasa ulishaji,upandishaji na utunzaji wa watoto.
Shamba lipo Morogoro manispaa.
Tuwasiliane kwa sms kwa 0686 666666
Salaam wadau,
Nahitaji kijana mwenye uzoefu na ufugaji hasa wa kuku na ndege. Anaweza kuwa na elimu formal au uzoefu wa muda mrefu wa kuku wote wa mayai na nyama. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0686 666666 hasa kwa msg au whatsApp.
Asante na karibuni.
Wadau natafuta mfanyakazi wa shamba la mifungo mwenye uzoefu wa kufuga nguruwe/aliyewahi fanya kazi kama hii.Shamaba lipo Morogoro manispaa.Kama yupo au unamjua tuwasiliane tafadhali kwa 0686 666666
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.