Recent content by LAWA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kikwete safarini tena?

    Kwa hiyo wewe unafikiri hizo pesa zinaweza patikani nje tuu? Unajua maana ya budget au ni aina gani ya budget inayotumika Tanzania? Nyie ndo mnapigia kura watu kwa kuangalia sura eti nzuri baadala ya uwezo
  2. L

    JamiiForums Tanzania Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    Kama ni kweli bac Jk ametumia busara sana hapo
  3. L

    JamiiForums Tanzania CCM tusilaumiane

    Ni kweli si vibaya kutoka tajiri wa kutupwa hadi masikini wa kutupwa yote ni maisha nainatakiwa CCM wayaishi hayo maisha. ilinishangaza kuona Mkapa akiwaahidi wana Arumeru kutatua tatizo la ardhi wakati yy alikuwepo miaka kumi madarakani na hakutatua tatizo hilo, ilitakiwa aeleza namna...
  4. L

    JamiiForums Tanzania CUF yatabiriwa makubwa kutokana na hazina zake 2 na CCM yafanya mambo kwa MIPANGO

    wenzako bado tunaendelea na shule wazazi wataacha kutusomesha kama mawazo ya wanaotoka kusoma ndo hayo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Hongera kijana mwenzetu Nassari kwa kuwa nauthubutu na kumtanguliza mungu mbele hakika ushindi wako unamaana sana kwa watanzania na vijana. Tunakuomba ukawe sauti ya vijana na masikini wote wa nchi ili tunapokuona wewe tujione cc. Bravo chadema
  6. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Best plann best product
Back
Top Bottom