Recent content by Lavoice 34

  1. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Nina kumbukumbu mbaya ya wanaopenda kulawiti

    Sjaelewa vizuri ..yaani we umeliwa sana?
  2. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

    Anunaki huenda ni malaika? Maana kunamalaika walitumwa kupeleka sample za udongo for human creation Simulizi hiyo ipo katika (Abrahamic religion) uislam
  3. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Sanduku la Agano liko wapi?

    Alafu musa hakumuona mungu zaidi ya isharaze na sautiye Samahani kwa kuongea kidigo
  4. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Hivi Biblia kuna vitu imeficha au ni nini maana sielewi

    Ahmad Sjaelewa
  5. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Hivi Biblia kuna vitu imeficha au ni nini maana sielewi

    Trinity yaani mungu mwana .baba.na roho mtakatifu.? Yaani yesu ni mungu mwana(mtoto) Mtoto wa mungu.???? Yupi ndio yehova (Eloy) Na roho ntakatifu ndi yupi Maana Mimi nataka kumjua aloe tuumba sisi wote .
  6. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Hivi Biblia kuna vitu imeficha au ni nini maana sielewi

    Labda mungu mengine ndo wana trinity Lakini mungu wa adam ibrahimi yesu daudi nuhu musa muhammad amejisisitiza kuwa yeye ni mmoja tu
  7. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Hivi Biblia kuna vitu imeficha au ni nini maana sielewi

    May be
  8. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Hivi Biblia kuna vitu imeficha au ni nini maana sielewi

    Roho ya mungu?
  9. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Sababu za kufichwa kwa kitabu cha Enoch

    Ibilis alikuwa species ya kijini.
  10. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanabaiolojia na huu hapa ndio uthibitisho wa uhalali wa Mungu(2)

    Hahaha nlikuwa nawaza hivi hivi nlivyokuwa form 6 Lakini sivyo Mimi ili niishi nategemea seli lakini mungu hategemei chochote anaweza kuishi pekeake bila kuwepe na kitu chochote
  11. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Tunaonewa sana

    Kondoo wa bwana
  12. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Siri ipi iliyojificha kati ya 'Space and Time' kwa kutumia 'Relativity Theory' ya Albert Einstein?

    Kipo kinachokimbia zaidi ya mwanga Ulimwengu una expand kuliko speed ya mwanga
  13. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane visa vya kwenye Biblia ambavyo ni funzo pia kwetu

    Pale kaini alipomuua khabil (abeli) akaondoka akaenda kuzaliana Hii inanifundisha kuwa mwanaume anaweza kuzaa bila kuwa na mwanamke.
  14. Lavoice 34

    JamiiForums Tanzania Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

    Inflared view nlitegemea kuona kama terminator Wazungu waongo sana
Back
Top Bottom