mwigulu nchemba anapenda kufunga muda wote bendela ya nchi yetu shingoni mwake, wakati huohuo anatukana hovyo wanasiasa wenzake ama matusi ya nguoni au ya mtaani. Hii inawakilisha nini? kwamba taifa letu ni la watukanaji sana au ni ishara kwamba tukihitaji kutukana lazima tuwe tinavaa brndela ya...
lejeeni ripoti za jumuiya zao huko nyuma. jumuiya ya wazee, ilimwambia warioba anyamaze kimya kule tanga. jumuiya ya wanawake ilitowa ripoti ya wanawake kuwanyima unyumba wanaume wote, na sasa jumuiya ya vijana wao imemtukana mamvi. alafu wana jamvi,hebu nikumbusheni ni nani alikuwa bingwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.