siku mwenyewe ukiamia kwenye ukweli ukiachana na majambazi ndio utafahamu kuhusu udini na north...dare to come and u will enjoy been in right part,pia usije mwenyewe come with ur family
.....uliwai kuishi na mandela au uliwai hata kwenda S.KUSINI ukahakikisha hayo? Hata upake mkaa Gold itazidi kungaaaaa! Lema tena ni Zaidi ya Mandela...long live G.lema we love u
Kutokana na matukio mbalimbali hapa nchini ya aliyekuwa mbunge wa A-town G.lema amekuwa akifananishwa na aliyekuwa Rais wa S.kusini Nelsoni Mandela...give out ur comment je? Ni kweli Tz inaweza kuwa na mandela lema
Kujenga kunaitaji mda na utalamu mwingi lakini kubomoa hakuna utalamu wala hakugarimu na hii ndiyo imewakumba magamba wamejenga kwa mda mwingi chama lkn kubomolewa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.