UVCCM Arusha wafunga mjadala wa Ole Millya - Tuhuma dhidi yake ni ya Upotoshaji

una uhakika na hayo uloandika! au kuna jambo unalichunguza kisela. katika hali ya kawaida lowassa hawezi kwenda chadema! nawe watuambia kuwa eti amemtuma millya! mh kuwa makini wewe.
 
Aishieni huko huko na mafisadi yenu. Mpopoane mawe au mpigane risasi mtajua wenyewe. Mzimu wa Millya utawatesa sana.

Msiihusishe Chadema na Lowassa. Ikiwa mmekosa mwelekeo basi mkafie mbele.

Bill umenena, mwaka huu tutaona mengi, yamewakuta na watatoana macho.
 
pole sana hakuna ki2 kibaya na aibu kubwa kama kufanya kazi na wanafiki, jana ilikuwa ni aibu kubwa sana, kwa hao vijana wa magamba kumtetea millya wakati walisema ni mtu ambaye hakuwa mwadilifu, sasa ukweli ni kwamba millya katumwa na lowassa ila aibu kubwa ni huyu mnafiki anayetumika na familya ya lowassa kugawa pesa za rushwa kwa watu, ni kweli pesa wamepokea ili kumsafisha milya na alyepokea hizo pesa ni DIWANI WA LEPURKO CCM KALANGA LAIZA, ambaye ni mnafiki mkubwa labda huyu jamaa akizeeka atakuwa full mchawi.
Kwanini sasa wamemtetee milya kama co kuna agenda kubwa ya siri inayo andaliwa na lowassa?,
Wakubwa hao wote ni wasaliti na wanafiki ila kuna mengi yatafichuka.
Wakubwa nawasilisha.
 
mnamkumbuka waziri wa zamani Arcado Ntagazwa baada ya kuyakimbia magamba na kuhamia chama makini cha Chadema juzi amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi kisutu wakidai anatuhumiwa kutapeli mali ya zaidi ya milioni 70, tena eti t-shirt na kofia

tutafika kweli chini ya uongozo lege lege wa ccm,

RIP ccm
 
Tunaposema IKULU inahusika na wizi na fujo hapa nchini huwa wanaruka vimanga ilikuwa kuwaje Salma KIkwete akaongee na wamiliki wa migodi ya Tanzanite watoe mchanga kwa vijana wa UVCCM
Hiki si nikielelezo kinachothibitisha tuhuma za Kwamba yeye na Jakaya Mrisho Kikwete Raisi wa jamhuri ya Tanzania wananufaika moja kwa moja na migodi iliyopo nchini
Kama waliweza kumpa mchanga watashindwa vipi kuwapa jiwe la Tanzanite Kama huo mchanga angewaoombea idara ya vijana pale manispaa ya Arusha tungemuelewa,vijana walio kwenye vyama vingine wanaunfaikaje na dhana hii ya uporaji
Mpaka 2015 tutayajua mengi endeleeni vijana wa UVCCM Arusha kwa kutufumbua macho
 
Wengi huwa wapo Uvccm 4 sack ili kujinufa,c faida ya vijana wenzao.AFTERAW hizi ni tuhuma kwa mke wa rais kuwa wao wanaweza wakatoa memo popote.
 
Hivi Mama Kikwete ana madaraka gani hadi kuiagiza kampuni binafsi kuwagawia mchanga wenye madini UVCCM Arusha?? Nauliza tuu maana kwa uelewa wangu mdogo, mke wa Rais hana madaraka yoyote katika serikali zaidi ya heshima yake apewayo kama mke wa Mkuu wa Nchi.

Au aliuomba kupitia taasisi yake ya WAMA???
 
Mpaka Rizwan akasema atakukomesha kumbe umbea, nashangaa kama ikulu nayo pia haina taarifa za kiinteligencia.
 
Hizi habari hao intelijensia walikuwa hawajazipata
Na then kweli hata kama huyo Millya kaondoka na Milioni Mbili kwani wameshindwa kutuma barua kwake arudishe hicho kiasi mpaka kuja kuandikana kwenye vyombo vya habari as if huyo jamaa ni maskini sana hata uwezo wa kupata milioni mbili hana
Na bado si kuna makabidhiano ya ofisi kwani jamaa si lazima awakabidhi ofisi yao na mihuri yao sasa kwa nini wasimsubiri siku hiyo ndo wammwambie jamaa rudisha pesa yetu mpaka waumbuane kwa taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari
 
Pamoja na uyo rafiki yake kumtetea,hii ishu ya kutoroka na fedha kubwa kiasi hicho imeishammaliza kisiasa bwana Millya.pole yake!

sio Tanzania ... muulize Maige ana kashfa ya bilioni ngapi? Chenge? Lowasa? sie watanzania ni watu waelewa kama ni za CCM atafune tu hata mimi ningeondoka na zote.
 
Kujenga kunaitaji mda na utalamu mwingi lakini kubomoa hakuna utalamu wala hakugarimu na hii ndiyo imewakumba magamba wamejenga kwa mda mwingi chama lkn kubomolewa....
 
This is nothing short of incredible! If ccm do wastes. systematically, the resources of nation like this then whatever evil befells that vampire mob will be throughly deserved.
 
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif]Uvccm mkoa wa Arusha wafunga Ofisi ya vijana mkoani hapo kushinikiza katibu wa uvccm mkoani hapo aondolewe pamoja na vibaraka wote wa fisadi Edward Lowasa. vijana hao wamechukizwa na kitendo cha abdallah Mpokwa ambaye ni katibu wa vijana mkoani hapo kutumika na fisadi Edward Lowasa. Edward Lowasa kuputia mtoto wake Fred Lowasa walituma pesa Arusha kupitia Julius Kalanga, Ally Bananga na Kadogoo ambayo ni vijana wa monduli ili kumtetea Millya aliyehamia Chadema. Inasemekana Lowasa kamtanguliza Millya chadema ili akapime joto Kabla ya Lowasa mwenyewe kwenda.

Vijana hao wamejiandaa kumpopoa mawe Fisadi Lowasa akionekana Arusha mjini na Arumeru. Wamemuasa Lowasa akome kuwayumbisha vijana kutokana na pesa zake za kifisadi za Richmond.
[/FONT]
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif][/FONT]​
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif][/FONT]​
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif][/FONT]​
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif][/FONT]​
[FONT=Tahoma, Calibri, Verdana, Geneva, sans-serif][/FONT]​

 
Back
Top Bottom