Du!, umeafanya research then ndo ukawasilisha!, safi sana and it is too logical,, hizi ndo mada nzur m2 kwanza unajichambua na kujipanga kupitia misin ya ukwel na uharal wa kile unachokuja kupresent!,,"no research no right 2 speak". ni kwel unakisema na kwa sasa inahitajika nguvu ya ziada xana...