Asante Kwa kumjibu ndivyo nilivyomjulisha, sina kamati, sihitaji mchango wa mtu wa kipesa, nahitaji mchango wa Mawazo, na tumeamua hivyo Mimi na mwenzangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwa kifupi tuu, Mimi na mwenzangu hatufanyi vikao na hatuna Kamati, hicho ni kiasi kidogo tulichojiwekea wenyewe ili kufanikisha swala letu, hatuna watu wa kutuwezesha hivyo, na ungesoma vizuri juu nimesema ni joint wedding inamaana hata yeye anaweza kufatilia mtu wa Mapambo wakati Mimi...
Nilishafanya mawasiliano nao, Harusi ya watu 400 ukumbi ni 5.7m wakiongezeka hata wawili wakawa 402 ni 11.7m, nikaona kwa budget yangu ndogo nitashindwa, Asante Sana Kwa wazo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.