Ukimpa mwanafunzi mimba kesi ipo mpaka mwezi wa nane kipindi mtoto yupo tumbon na akisha jifunguwa hapo hamna kesi jmh cha kufanya mkapime D.N.A chukueni toto lenu kiroho safi sema mtapigwa faini ukwen kuwen tayar kwa hilo.
Ni kweli kwa waliokuwa na vyeti vya chuo ni sawa na bure kambin cz wanajikuta wanajuwa vingi , arafu vitu vinginr ukishaona watu zaidi ya wawil watatu wame kuelewesha jarbu kukubaliana nao usiwe mbishi kama ruba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.