Recent content by Last Winner

  1. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Walimu, wapeni kazi watoto wanaofaulu darasani

    Yakifanyika hayo shuleni basi shule ijiandae kufelisha wanafunzi wote, adhabu ni kumnyima anachokipenda mtu au kumpa kitu asichokipenda mtu. Na hakuna mwanafunzi anayependa kazi ngumu, kwaiyo ikifanyika hivyo lazima hata wale wanaofaulu watajifelisha ili wasifanye kazi.
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Kenya mambo ni moto

    Na kama waliweza kukushinikiza wewe watashindwaje kuwashinikiza hao majaji kumpa ushindi wa kesi Ruto
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Kenya mambo ni moto

    Kwani shida ipo wapi, si wahessabu kura upya ili ijulikane kama uchaguzi urudiwe au la
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mambo yamekaaje?

    Inaonekana ulikua msaada kwao, namaanisha maisha yao hayapo vizuri
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kumuacha japo ninampenda sana

    Sasa kama hakuna tatizo na unampenda kwanini umuache?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wale backbenchers darasani tukutane hapa!

    Hata wale tuliokua tunakaa karibu kabisa ya ubao maisha yanatupiga tumebaki tu na kikohozi na mafua sugu yaliyotokana na vumbi la chaki
Back
Top Bottom