Recent content by Laptani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kama MBOWE sio MESSI basi ni RONALDO

    Anastahili kutunukiwa uprofesa wa siasa za Tanzania; naunga mkono wanaopendekeza atunukiwe Phd
  2. L

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CCM Arusha amehamia CHADEMA

    Mzee Laizer karibu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe akatisha ziara yake nchini Denmark kutokana na kifo cha dada yake

    Jaribu basi kuwaza kabla ya kupost. Huwezi kupanda ndege kama basi au fuso. Unapaswa kufanya booking hii fast jet yetu yenyewe huwezi kukurupuka kwenda kukata tkt.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Usafiri kafiri!!!!!!!

    Yaani hapa nimecheka nimepaliwa mara 3 sina hamu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Neno "KAMBI YA UPINZANI" LIFUTWE badala yake tutumie "KAMBI YA UTETEZI".

    Naunga mkono asilimia 100!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kanuni inasemaje: Waziri mkuu au Kiongozi wa Upinzani asimamapo bungeni?

    Simply WM yuko madarakani while KUB anawakilisha minority haibadili majukumu. You should learn how these titles works. Ndo maana siku ya maswali kwa WM anaanza KUB then the rest wanafuata.
  7. L

    JamiiForums Tanzania NGONO: Kivutio kingine cha utalii nchini Tanzania

    Na usuke rasta. Nilishakutana na wengi VIAVIA nimetinga suti yangu they keep asks me ridicuousily ' ar u a pastor?' when i answer back 'no, enterprenuer' wanaona mhh huyu sio, wanasepa!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Majambazi saba yakamatwa dar wakiwa na sare za askari polisi

    Kumbe majambazi yametoka kupora wanawahi maskani.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Majambazi saba yakamatwa dar wakiwa na sare za askari polisi

    Mkuu hii nimeipenda sana. We ni genious.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Mkuu Marmo alishahamishiwa Ujerumani, after all hiyo barua imeandikwa na wafungwa walioko magereza za Hong Kong. China hawafungi, wananyonga wauza/wabeba sembe; bahati tu wale walikamatiwa Hong Kong ambako sheria ni laini kidogo km huku Tz.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong

    Kwa maana hiyo mkuu Masongange & Co ni wanyarwanda na si watz?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Utapeli huu unawaharibia vodacom

    Mkuu hiyo watoto wa mjini wanaita "flush message". Mteja anakuja anakuuliza kama anaweza kutoa sh. 1,000,000/=. Ukimwambia atoe, utashtukia imeingia sms ya pesa kuingia kwenye account yako; ila ukiulizia salio lako hautaiona hiyo millioni kwani itasoma salio kabla haijawekwa (kwa maana kwamba...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tendwa hajasema chochote juu ya Brigade ya CHADEMA

    Mkuu unamaanisha RGB (primary colors spectrum) imekamilika?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda angeomba radhi kwa watanzania ili kurudisha heshima yake

    Kwa hili la PM, ningependa tukumbushane wimbo alioimba Bob Marley katika sherehe za uhuru wa Zimbabwe mpaka ukamgusa Mwl. Nyerere: Every man gotta right To decide his own destiny And in this judgment There is no...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Arusha Elerai: Polisi wawakamata raia kwa muda na kuwaachia

    Tedia lekaatadarwa laptaalai.
Back
Top Bottom